Lady JayDee na jini mahaba!

What was the essence of such a revelation. Ingekuwa reality show kwa kina SHERIFF ARPAIO ama labda ingekuwa na maana. Huku kwetu ataambulia kuchafuliwa jina na kujazwa kwenye hizi trash wanaita magazeti.
 
Kwa Jay Dee mimi naweza kuamini maneno haya.

Tamaduni nyingine zinasema "jini mahaba", wengine wanasema "nymphomaniac".
 
Jini mahaba kichwani mwako tu

Ni kutafuta njia rahisi ya kujifariji kwa yale yanayoonekana matatizo ya kisaikolojia
 
Labda tiba ina hatua nyingi na mojawapo ni kusema hadharani vinginevyo haikustahili.
 

Dada yangu siamini kama kuna kitu jini mahaba. Naomba unieleze ni kwa nini unaamini kuna jini mahaba, pia naomba concrete evidence ambazo zinakufanya uamini jini mahaba lina exist.
 
Wanabodi,
Hata mimi kipindi nimekiona, kiukweli Lady JayDee ni mwanadada Comandoo wa ukweli, ni shujaa wa ukweli na mwanamke wa shoka wa kiukweli kweli kwa sababu kitendo cha kuwa tatizo ambalo ni personal, trivial, na very sensitive kinahitaji ujasiri wa ziada sio tub kwa kutamka, bali the motive behind hiyo revelation!.

Nimempongeza kwa sababu ni watu wachache haswa wanawake ndio wachache zaidi ambao wana ujasiri wa kiukweli kweli wa kuwa in public na kutoa personal problems zao, in so doing, watajikuta wanawasaidia wanawake wengine mamia kwa maelfu wanaoteseka na tatizo kama hilo ila hawana guts to come in an open kulisemea kwa sababu ni taboo hiyo kujikuta wanaishi ndani ya mateso makubwa huku huku hayo matatizo yakiwa yana wa kuwa"eat them from inside".

Namini Jide na Gadna watapita hapa, nimemuona huyo sheikh akiwasomea dua, hiyo dua sio suluhisho la kudumu la tatizo hilo bali litapoozwa tuu na sio kuondoshwa kwa sababu baadhi ya dua zinatumia majini wenye nguvu zaidi ili kuwajidhibiti majini wadogo ambalo hawk majini mahaba ni miongoni mwa majini wadogo wa maisha ya kila siku kama walivyo mapepo wengine kama pepo la ngono, pepo la ulevi, pepo la wivu, pepo la umalaya, pepo la uongo, pepo la fitna, pepo la umbea etc, ambayo yakidhibitiwa kwa majini makubwa, huenda kujikusanya na majini wenzao wengi na kumrudia kwa nguvu kubwa zaidi kwa sababu hiyo ya huyo sheikh, inatibu tuu symptoms yaani daily nasio chanzo yaani cause!.

Ili kutibu tatizo hilo once and for all, Gadna na Jide lazima wa deal na chanzo na wawe prepared to pay the price ikiwa some of success ya Jide imechangiwa na mahusiano hayo ya jini mahaba, akitimuliwa kwa evil means huwa ana retaliate very evil!. Dawa ya kudumu kwa Jide kujifanyia tathmini ya "karma" alivyomkuta Gadna, alimkutaje, na consequences ya penzi lake na Gadna limeimpact vipi watangulizi wake!. Just make right the wrongs she did, make peace na watangulizi, take care of the kids as yours, milango yako ya furaha genuine itafunguliwa, utajaaliwa mtoto na utaweza kusmile genuinely!.

Wish them all the best!.
Pasco.
 
Dada yangu siamini kama kuna kitu jini mahaba. Naomba unieleze ni kwa nini unaamini kuna jini mahaba, pia naomba concrete evidence ambazo zinakufanya uamini jini mahaba lina exist.

Its ironic how people believe in God but when they're told about the demons wanapinga. Kama unatambua uwepo wa Mungu basi ndugu amini shetani yupo. Kuna wataalamu wanaweza kukuitia huyo jini mahaba kama una "hamu" yakumuona
 
Its ironic how people believe in God but when they're told about the demons wanapinga. Kama unatambua uwepo wa Mungu basi ndugu amini shetani yupo. Kuna wataalamu wanaweza kukuitia huyo jini mahaba kama una "hamu" yakumuona

What do you say to those who do not beieve in demons for the same reasons that made them not belive in a god?

Like, say, Kiranga.
 
Bwana Pasco

Unasema baadhi ya dua huwa zinapooza tu tatizo na wakati huo huo unasema kwa uhakika kuwa wao tatizo lao limepoozwa tu

Hivi wewe ni mganga wa kienyeji kuweza kutofautisha uwezo wa dua kwa kuisikia tu?

Pili, imejuulikana vipi kama kuna maelfu kwa maelfu ya wanawake wenye tatizo hilo kama halisemwi?
 
Last edited by a moderator:
exactlly, bnafsi sikuona umuhimu wa jide na gadner kulizugumizia hlo jambo kwnye public!
Kwakweli binafsi nimewashangaa sana Jide na Mumewe,hilo suala si la kuongea hadharani, umaarufu wanaoutafuta ni wa kipuuzi tu.
 
Its ironic how people believe in God but when they're told about the demons wanapinga. Kama unatambua uwepo wa Mungu basi ndugu amini shetani yupo. Kuna wataalamu wanaweza kukuitia huyo jini mahaba kama una "hamu" yakumuona
Hakuna mtu ambaye anaamini kuna Mungu halafu haamini kuna demons, imani yeyote ya Mungu inakufundisha kuwa against demons, so automatically mtu anayeamini kuwa kuna Mungu huwa anaamini pia kuna demons.

Hakuna mtu anayekataa kuwa shetani yupo. Ninachokataa hapo ni huyo jini kufanya mapenzi na binadamu.

Waambie hao wataalamu wako wamuite huyo jini, nina hamu ya kumuona.
 
Unajuaje kama wanatangaza mashindano kumpata mshindi wa kuingia naye utatu?

Huyo wa kuingia nae utatu awe na vigezo vifuatavyo:

Awe na uwezo wa kuonekana na wote wawili

Asiwe na maradhi yanayotambulika kwenye sayansi ya watu

Awe na stamina ya walau kama "jini"

Awe tayari kufanya majamiiano katika roles mbali mbali

Ahsante
 
What do you say to those who do not beieve in demons for the same reasons that made them not belive in a god?

Like, say, Kiranga.

Jamani Kiranga for Godsake you are a nonbeliever and thats that. Nitasema nini?
 
Last edited by a moderator:

Unless you want to have a session na jini mahaba sioni jinsi nyingine utakavyothibitisha........i think yule mtoto wa Sheikh Yahya anaweza waita
 
Najaribu kufikiria hapa"shetani kavaa kondom au anapiga kavukavu"sipati picha, na mguno naoupata Jay dee huku kamshikiria shetani.lazima atakuwa anammiss tu pamoja na kupata tiba.
Dah, wewe umefikiria mbali sana.
 
Labda tiba ina hatua nyingi na mojawapo ni kusema hadharani vinginevyo haikustahili.
Eheeeeee, umeongea suala la msingi sana, unakumbuka popobawa, usipohadhia kwamba limekufanyia linarudi tena, mpaka utangaze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…