Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tiba ya haraka zaidi na kutegemea ni maombi. Ukiota ndoto za kufanya mapenzi (hata kama umemuota mwenza wako) ama kukosa hamu ya kufanya mapenzi huenda ikawa ni jini mahaba. Ndo maana tunaambiwa tukeshe na kuomba kila wakati.
Binafsi, wakiwa kama vioo vya jamii nawapongeza kwa kufunguka kuhusu hilo ili wanaoteseka wajue sio wao peke yao. Nafurahia sana mahusiano ya Jide na Gardner. Im sure walijadili hili kabla ya kuamua kushare. Wanandoa wachache.sana wanaweza kuovercome challenge pamoja.
Dada yangu siamini kama kuna kitu jini mahaba. Naomba unieleze ni kwa nini unaamini kuna jini mahaba, pia naomba concrete evidence ambazo zinakufanya uamini jini mahaba lina exist.
Its ironic how people believe in God but when they're told about the demons wanapinga. Kama unatambua uwepo wa Mungu basi ndugu amini shetani yupo. Kuna wataalamu wanaweza kukuitia huyo jini mahaba kama una "hamu" yakumuona
Kwakweli binafsi nimewashangaa sana Jide na Mumewe,hilo suala si la kuongea hadharani, umaarufu wanaoutafuta ni wa kipuuzi tu.exactlly, bnafsi sikuona umuhimu wa jide na gadner kulizugumizia hlo jambo kwnye public!
exactlly, bnafsi sikuona umuhimu wa jide na gadner kulizugumizia hlo jambo kwnye public!
Hakuna mtu ambaye anaamini kuna Mungu halafu haamini kuna demons, imani yeyote ya Mungu inakufundisha kuwa against demons, so automatically mtu anayeamini kuwa kuna Mungu huwa anaamini pia kuna demons.Its ironic how people believe in God but when they're told about the demons wanapinga. Kama unatambua uwepo wa Mungu basi ndugu amini shetani yupo. Kuna wataalamu wanaweza kukuitia huyo jini mahaba kama una "hamu" yakumuona
Unajuaje kama wanatangaza mashindano kumpata mshindi wa kuingia naye utatu?
What do you say to those who do not beieve in demons for the same reasons that made them not belive in a god?
Like, say, Kiranga.
Hakuna mtu ambaye anaamini kuna Mungu halafu haamini kuna demons, imani yeyote ya Mungu inakufundisha kuwa against demons, so automatically mtu anayeamini kuwa kuna Mungu huwa anaamini pia kuna demons.
Hakuna mtu anayekataa kuwa shetani yupo. Ninachokataa hapo ni huyo jini kufanya mapenzi na binadamu.
Waambie hao wataalamu wako wamuite huyo jini, nina hamu ya kumuona.
Dah, wewe umefikiria mbali sana.Najaribu kufikiria hapa"shetani kavaa kondom au anapiga kavukavu"sipati picha, na mguno naoupata Jay dee huku kamshikiria shetani.lazima atakuwa anammiss tu pamoja na kupata tiba.
Aaaa,sio dua, dua ni kulikaribisha, hayapendi kitimoto, gonga kitimoto kama huna akili nzuri.Yaaaah alielekezwa km dawa yake ni kufanya dua zaid pia!
Eheeeeee, umeongea suala la msingi sana, unakumbuka popobawa, usipohadhia kwamba limekufanyia linarudi tena, mpaka utangaze.Labda tiba ina hatua nyingi na mojawapo ni kusema hadharani vinginevyo haikustahili.
Aaaa,sio dua, dua ni kulikaribisha, hayapendi kitimoto, gonga kitimoto kama huna akili nzuri.