TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

Picha
 
Anarudishwa Musoma badala ya kupelekwa kwa matibabu kwenye hospitali kubwa?
Mkuu hayo mambo omba t yaskukute..
Daktari wa kwanza wa mwili wako ni wewe mwenyew lazma ujue kujifanyia assessment sivo utaumia sana..nilishawai umwa mguu miez mitatu nahangaika mahospitalin kumbe kombola,
Hadi nakuja kustuka nishatambaa sana..
Na alinshauri daktari mmoja mshkaji wangu nijaribu kuchungulia upande wa pili ..
Siku moja t nilifanyiwa vitu lushoto uko milimani kesho natembea mwenyew.
 
Ndg yangu usisikie Mtu kuumwa alafu anakwenda Hospital anafanyiwa vipimo vyote,alafu anaambiwa mbona hakuna kitu, mbona utaangaika sana,hata ukiiambiwa twende tukanywe kikombe kwa Babu utakwenda tu!!
Hata haja kubwa unaila vizuri tu .
Acha kabisa..
Uwe ustaz swala zote na kwa gwajima unaingia vizuri tu..
 
Well said mkuu.
 
Naomba picha ....poleni wafiwa wote
 
Duh kumbe huyu mwamba kavuta
Maana nlikuwa navuta picha +sura yake
Mbona kama naijua....

R.I.P comrade

Ova
 
Huwa nalipuka moyo kwa hofu kubwa kila nionapo hilo jina la 'Mzena Hospital'. I don't know why!!

-Kaveli-
Nchi ina vijana wa ajabu sana hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binafsi nmekuelewa una maanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…