TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

Nafasi imekuja umechaguliwa ww kuwa mgongo tena wa raisi utakataa useme unakula lindo??? Anyway ndio imeshakuwa hivyo kijana wa watu keshafukiwa chini ya udongo
Yes Kila Jambo na wakati wake. Mda wake Wa kutwaliwa na mwenyezi Mungu ulishafika Tayari. Amezikwa Jana Nyasurura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunamshukulu mungu tumemaliza salama

IMG_4890.jpg
 
Wabaguzi kuliko watu weupe Yani kijana waki Zanzibar harusiwi na familia kuoa mwanamke kutoka Tanganyika ata kama mwanamke ni dini moja wazaz hawataki, Mwanaume kutoka Tanganyika una ruhusiwa kuoa mwanamke waki Zanzibar ili mradi uwe muislamu Tu nakama siyo muislamu unatakiwa uslimu uingie kwenye uislamu wa Zanzibar wata kupenda watakupa nyumba yakuishi na kaz watakupatia na kama umesoma ukitaka kusoma nje watakupeleka kujiendeleza

Siku zote Mbaguzi ana High IQ na anayebaguliwa ana Low intelligence, hivyo kama Mbara anabaguliwa na Mzanzibari maana yake ni kwamba Mbara ana low intelligence, Isitoshe kwa nini ukaoe huko mbona wao hawang’ang’anii kuja kuoa kwenu ? Low IQ ipo hapo, hivyo siku zote kumbuka hilo, ukiona unabaguliwa basi ujue una low intelligence kuliko yule anayekubagua.
 
Kwa hyo unataka kusema ss wabara tuna low iq kuliko wazenji ..ndugu wazanzibar Ni weupe mno kichwani mifano ipo mingi tu
 
Siku zote Mbaguzi ana High IQ na anayebaguliwa ana Low intelligence, hivyo kama Mbara anabaguliwa na Mzanzibari maana yake ni kwamba Mbara ana low intelligence, Isitoshe kwa nini ukaoe huko mbona wao hawang’ang’anii kuja kuoa kwenu ? Low IQ ipo hapo, hivyo siku zote kumbuka hilo, ukiona unabaguliwa basi ujue una low intelligence kuliko yule anayekubagua.
This is a very low iq person

Linear thinking is some serious matter
 
Back
Top Bottom