Sahihi. Cardinal Polycarp Pengo alijielekeza vibaya katika ku handle suala hili la Fr Nkwera. Naweza kusema kuwa alitumia bunduki kuua mjusi. Mjusi ni mnyama wa nyumbani wala siyo adui, kwa nini umuue??Kwa hiyo hapo ni roho mbaya ya cardinal pengo
Kwa hiyo hapo ni roho mbaya ya cardinal pengo
Correct mkuu Tangawizi !! Kwa karama aliyojaaliwa Fr Nkwera ya uponyaji kwa maji ya baraka na rozari, na kwa wafuasi aliowpata alikuwa na uwezo wa kutoka RC na kuanzisha Ministry yake kama akina Mwamposa au Kakobe. Lakini yeye ni MKATOLIKI safi na alibaki Katoliki hadi mauti yanampata.Huu ndio ukweli. Cardinal Pengo aliamua kumzima Fr. Nkwera kwa nguvu zake zote.
Cardinal Rugambwa hakuwa na shida na Fr. Nkwera. Infact alienda kutoa huduma za mwisho kabla ya mauti yake 1998.
Shida ni mtu mmoja, akitumia collegiality ya maaskofu, kuhakikisha wanamdhibiti.
Najiuliza kwanini aliamua kumdhibiti?
Kuna siku moja Dr. Slaa alisema Fr. Nkwera hana shida kwenye huduma zake. Na alionewa
Mwenyezi Mungu amjalie pumziko la mileleCorrect mkuu Tangawizi !! Kwa karama aliyojaaliwa Fr Nkwera ya uponyaji kwa maji ya baraka na rozari, na kwa wafuasi aliowpata alikuwa na uwezo wa kutoka RC na kuanzisha Ministry yake kama akina Mwamposa au Kakobe. Lakini yeye ni MKATOLIKI safi na alibaki Katoliki hadi mauti yanampata.
Nkwera alisoma darasa moja na Pengo..Na mara nyingi.Nkwera alipokuwa anaonana na Pengo walikuwa wanarushiana Maneno (inaonekana walikuwa na beef Lao kama wao binafsi-Pengo akawa anatumia Cheo chake kudeal nae) Miaka ile Pale Kimara alipoanza Nkwera kusalisha.Alikuwa anapata watu wengi sana! ila waumini wake walikuwa wakishambuliwa vikali mno wanapoenda kwenye Makanisa kusali nakumbuka walikuwa mpaka wanapigwa na Waumini wenzao hadharani.ππKatika Ukatoliki Bishop wa Jimbo husika ana mamlaka ya kumzuia Padre kutofanya kazi. Na iwapo Bishop mwingine akamwelewa au akaja mwingine kuwa Bishop katika jimbo la padre aliefungiwa na mwingine anaweza hondolewa Vizuizi na kuendelea na majukumu yake kama Padre. Imani katoliki ina tarataibu zake za aku approve miujiza na matendo ya waamini wake pale inapotokea mfano.Muumini anasema ametokewa na Yesu au Bikira Maria au ana karama ya kuponya watu....Katoliki uhitaji muda na kufuatilia pamoja na kufanya scientific Research kwa mtu au tukio husika na Kanisa ndo final kuthibitisha kama ni kweli au Hapana. Nkwera alibishana na hilo...hakutaka na hakuwa tayari kutoa ushirkiano kwa Jimbo katoliki Dar es salaam kuchunguza na kujilizisha kuwa huduma zake za maombezi zina misingi ya imani kama inavyotakiwa na Bishop of Roma. Nkwera sio wa kwanza na pengine sio wa Mwisho.Huu ndio ukweli. Cardinal Pengo aliamua kumzima Fr. Nkwera kwa nguvu zake zote.
Cardinal Rugambwa hakuwa na shida na Fr. Nkwera. Infact alienda kutoa huduma za mwisho kabla ya mauti yake 1998.
Shida ni mtu mmoja, akitumia collegiality ya maaskofu, kuhakikisha wanamdhibiti.
Najiuliza kwanini aliamua kumdhibiti?
Kuna siku moja Dr. Slaa alisema Fr. Nkwera hana shida kwenye huduma zake. Na alionewa
katoliki Askofu ndo anaweza anzisha Ministry yake.....kupata Update pekee ake sio mziki mdogo..Uskofu ndo usiseme.So iTS not easy.Correct mkuu Tangawizi !! Kwa karama aliyojaaliwa Fr Nkwera ya uponyaji kwa maji ya baraka na rozari, na kwa wafuasi aliowpata alikuwa na uwezo wa kutoka RC na kuanzisha Ministry yake kama akina Mwamposa au Kakobe. Lakini yeye ni MKATOLIKI safi na alibaki Katoliki hadi mauti yanampata.
Katoliki wewe w
Nkwera alisoma darasa moja na Pengo..Na mara nyingi.Nkwera alipokuwa anaonana na Pengo walikuwa wanarushiana Maneno (inaonekana walikuwa na beef Lao kama wao binafsi-Pengo akawa anatumia Cheo chake kudeal nae) Miaka ile Pale Kimara alipoanza Nkwera kusalisha.Alikuwa anapata watu wengi sana! ila waumini wake walikuwa wakishambuliwa vikali mno wanapoenda kwenye Makanisa kusali nakumbuka walikuwa mpaka wanapigwa na Waumini wenzao hadharani.ππKatika Ukatoliki Bishop wa Jimbo husika ana mamlaka ya kumzuia Padre kutofanya kazi. Na iwapo Bishop mwingine akamwelewa au akaja mwingine kuwa Bishop katika jimbo la padre aliefungiwa na mwingine anaweza hondolewa Vizuizi na kuendelea na majukumu yake kama Padre. Imani katoliki ina tarataibu zake za aku approve miujiza na matendo ya waamini wake pale inapotokea mfano.Muumini anasema ametokewa na Yesu au Bikira Maria au ana karama ya kuponya watu....Katoliki uhitaji muda na kufuatilia pamoja na kufanya scientific Research kwa mtu au tukio husika na Kanisa ndo final kuthibitisha kama ni kweli au Hapana. Nkwera alibishana na hilo...hakutaka na hakuwa tayari kutoa ushirkiano kwa Jimbo katoliki Dar es salaam kuchunguza na kujilizisha kuwa huduma zake za maombezi zina misingi ya imani kama inavyotakiwa na Bishop of Roma. Nkwera sio wa kwanza na pengine sio wa Mwisho.
1. Zambia kulikuwa na Askofu anaitwa Bishop Milingo- Alikuwa nae anafanya maombezi na uponyaji- akaitwa Vatican....akiwa katika uchunguzi wa kikanisa kujua kama anachofanya nisawa as a Catholic faith.Akatoroka akaenda kuanzisha Dini yake na kuoa juu
π€£π€£ akawapa na engine bahadhi Update (askofu wa kikatoliki akimsimika mtu awe Padre ata kama ajasoma huyo ni Padre kwa imani ya kikatoliki-so Iwapo askofu akitoka katika imani ya kikatoliki ni hatari mno maana kiimani ana mamlaka ya kuanzisha Dini yake) Vatican ikatuma kikosi kazi wakamshawishi kuenda Roma kukutana na Papa.. Akafutiwa uaskofu wake
2.miaka ya 198x Jimbo katoliki Moshi.....Maeneo ya Marangu Kilema..Karibu na Maua Seminary Ndugu na jamaa waliokuwa wakisheherekea shughuli ya kijana wao kusimikwa kama Shemashi (hatua ya mwisho kabla ya kupewa update) walistushwa na ujio wa Paroko toka parokia ya Maua Kirema akiwa na Barua toka kwa Bishop Msarikie wa jimbo la Moshi inayomwambia Dogo kuwa shughuli za yeye kupata Ushemashi kesho aitokuwepo mapaka pale itakapotangazwa tena...ππ..Tayari sherehe zilikuwa zimeshaanza na create kadhaa za Safari lager.Konyagi na Pipa za kutosha za Mbege zikikuwa zishanyweka...Jamaa alipambana zaidi ya miaka 10+.Akuna kitu..one Day kwenye miaka ya 20xx alikutana na Padre from USA.... Akamweleza story yake...yule Padre akaongea na Askofu wa Jimbo lake kule USA...yule Bishop akamwambia yule Padre ahakikishe anapotoka Tanzania jamaa awe siti ya pembeni ampeleke USA kwenye Jimbo lake..Mpaka muda huu Dogo yule (now ni mtu mzima)π ni Baba Paoroko katika parokia moja huko kwa kinda Tupac na Dr Dre- Na amechukuwa Ndugu zake wanaishi nae huko.
Mungu amempumzisha mtumishi wake. Ila kuna haja ya wasomi wa kanisa kuja kufanya utafiti wa kwa nini Fr Felician Nkwera alitengwa na kanisa na kisha kuandika kitabuMwenyezi Mungu amjalie pumziko la milele
Archbishop Emmanuel Milingo alifariki kwao Zambia mwaka 2021Huyu Mzee sijui yuko wapi siku hizi, Askofu Milingo
Mungu amempumzisha mtumishi wake. Ila kuna haja ya wasomi wa kanisa kuja kufanya utafiti wa kwa nini Fr Felician Nkwera alitengwa na kanisa na kisha kuandika kitabu
Hukunielewa. Nilimaanisha kuwa Fr Nkwera alikuwa na uwezo wa kutoka nje ya kanisa Katoliki na kuanzisha haya makanisa kama ya Pentecostal. Lakini kwa vile alikuwa MKATOLIKI wa kweli akaendelea na huduma yake ya Marian Healing pale Riversidekatoliki Askofu ndo anaweza anzisha Ministry yake.....kupata Update pekee ake sio mziki mdogo..Uskofu ndo usiseme.So iTS not easy.
Aliejazwa roho mtakatifu hawezi kuishi pamoja na wale wenye kutegemea moshi kuchagua viongozi wake au kafara la moto au watawala wa Dunia!!
RIP sana kwake,Asante mleta uzi!!
Ulishawai enda sali pale ata mara moja??ulishawai kukaa na Mapadre/walio karibu na wausika na kusikikiza maoni yao juu ya hili??Kusema hakutoa ushirikiano sio kweli. Alirudishwa Njombe na akazuiwa kwa muda na Askofu Mwanyika.
Ila sababu hakujua afanye nini naye baada ya kumuweka kizuizini, baadae akaamua amwache aende zake.
Baada ya kumtelekeza, ndio wakaja na hizo story hatoi ushirikiano.
Hakuna kitu kibaya kama mtu mzima kuwa muongo. Na kuhalalisha uongo uwe ukweli
Ulishawai enda sali pale ata mara moja??ulishawai kukaa na Mapadre/walio karibu na wausika na kusikikiza maoni yao juu ya hili??
Sheria ndogo ndogo za Waseminary kwa kila nchi au shirika la Dini (tuna zaidi ya Mashirika 6 ya Mapandre duniani)Mfano Parokia ya Msimbazi ipo chini Ya Dungu wadogo wa fransiscan OFM Cppuchins.. Sina OSS (order of st.Augustiono) Shirika alilotoka pope wa sasa..etc utofautiana-kile ambacho Jimbo la Moshi liliona ni kosa kule USA sio kosa kubwa la kumfanya mtu asiwe kasisiChipukizi kwanini yule dogo alihamia US kitu gani waligundua hao watu huko? Mpaka wakambeba mtu wetu.
Padre ni kama Dr.ni ni binadamu kama mimi na wewe! Kutokana na uwepo Shetani.Kanisa linajitaidi kutokuwa na mwiingiliano wa nguvu za giza au Matendo ya giza ndani ya kanisa na ndo maana wakiona mmoja wao ana viashiria either from God/Shetani. Matendo kama Uponyaji..Unabii etc wana kuwa makini na udadisi wa kujua huyu hizi nguvu anatoa wapi? +ni original from God au toka kwa Dogo janja shetani.ata Wayahudi walimtilia shaka bwana Yesu alipokuwa ana ponya na kufufua wafu Matayo 11:1-17:9Mapadre gani unaowaongelea? Hawa hawa ambao kila mtu analinda interest zake au wengine?
Kwani baada ya kufungiwa, wanaoendesha misa pale kila siku ni kina nani?
Padre ni kama Dr.ni ni binadamu kama mimi na wewe! Kutokana na uwepo Shetani.Kanisa linajitaidi kutokuwa na mwiingiliano wa nguvu za giza au Matendo ya giza ndani ya kanisa na ndo maana wakiona mmoja wao ana viashiria either from God/Shetani. Matendo kama Uponyaji..Unabii etc wana kuwa makini na udadisi wa kujua huyu hizi nguvu anatoa wapi? +ni original from God au toka kwa Dogo janja shetani.ata Wayahudi walimtilia shaka bwana Yesu alipokuwa ana ponya na kufufua wafu Matayo 11:1-17:9