Alikiuka mafundisho ya kanisa.Kwanini alitengwa na kanisa padrre nkwera?
SawaAlikiuka mafundisho ya kanisa.
Apumzike kwa Amani Padri Nkwera,sema hiyo kanzu kantokea kama kubazi.
Mbona na kanzu tena?
Kwani mapadri hawavai kanzu?!Mbona na kanzu tena?
Kanzu ni vazi kama koti,sema inavaliwa sana na Waislamu.Emu elezeni kanzu nyinyi mnaichukuliaje kwani?
Unajua maswali mengi yatakua hapa. Hebu sema kwanini alitengea na kanisa katolikiPadri Nkwera aliwahi kuhudumu Kanisa Katoliki kabla ya kutengwa na uongozi wa kanisa hilo.
Alifanya jambo gani lililo kinyume na mafundisho ya kanisa?Alikiuka mafundisho ya kanisa.
Vazi maarufu la waarabu..!!Emu elezeni kanzu nyinyi mnaichukuliaje kwani?
Kanzu zinatofautiana wanazovaaKwani mapadri hawavai kanzu?!
RiP Felician NkweraMuasisi wa Kituo cha Maombezi cha Mama Bikira Maria (Marian Faith Healing), Padri Felician Nkwera (89) amefariki dunia.
Waamini wamekusanyika katika kituo hicho kilichopo Ubungo Riverside, Dar es Salaam leo Mei 9, 2025 kuomboleza.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kituoni hapo, Padri Nkwera alifariki dunia jana Alhamisi Mei 8, 2025 usiku.
"Aliaanza kujisikia vibaya jana asubuhi akiwa kanisani, hivyo aliporejeshwa nyumbani kwake, madaktari walipompima walibaini presha yake ipo chini, lakini muda wa jioni hali ilibadilika wakampeleka Hospitali. Hata hivyo ikaonekana presha yake ilikuwa sawa na akaruhusiwa kurudi nyumbani, lakini wakiwa njiani hali yake ikabadilika kisha wakampeleka Hospitali ya TMJ, huko ndipo alifikwa na umauti," kilieleza chanzo cha taarifa.
Padri Nkwera aliwahi kuhudumu Kanisa Katoliki kabla ya kutengwa na uongozi wa kanisa hilo.
View attachment 3329049
Kanzu ni vazi kama koti,sema inavaliwa sana na Waislamu.
Sasa mnastuka kwaniniVazi maarufu la waarabu..!!
Limevaliwa na padriSasa mnastuka kwanini
Alilitikkisa kanisa Katoliki vilivyoMuasisi wa Kituo cha Maombezi cha Mama Bikira Maria (Marian Faith Healing), Padri Felician Nkwera (89) amefariki dunia.
Waamini wamekusanyika katika kituo hicho kilichopo Ubungo Riverside, Dar es Salaam leo Mei 9, 2025 kuomboleza.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kituoni hapo, Padri Nkwera alifariki dunia jana Alhamisi Mei 8, 2025 usiku.
"Aliaanza kujisikia vibaya jana asubuhi akiwa kanisani, hivyo aliporejeshwa nyumbani kwake, madaktari walipompima walibaini presha yake ipo chini, lakini muda wa jioni hali ilibadilika wakampeleka Hospitali. Hata hivyo ikaonekana presha yake ilikuwa sawa na akaruhusiwa kurudi nyumbani, lakini wakiwa njiani hali yake ikabadilika kisha wakampeleka Hospitali ya TMJ, huko ndipo alifikwa na umauti," kilieleza chanzo cha taarifa.
Padri Nkwera aliwahi kuhudumu Kanisa Katoliki kabla ya kutengwa na uongozi wa kanisa hilo.
View attachment 3329049
Kumbe walimtengaMuasisi wa Kituo cha Maombezi cha Mama Bikira Maria (Marian Faith Healing), Padri Felician Nkwera (89) amefariki dunia.
Waamini wamekusanyika katika kituo hicho kilichopo Ubungo Riverside, Dar es Salaam leo Mei 9, 2025 kuomboleza.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kituoni hapo, Padri Nkwera alifariki dunia jana Alhamisi Mei 8, 2025 usiku.
"Aliaanza kujisikia vibaya jana asubuhi akiwa kanisani, hivyo aliporejeshwa nyumbani kwake, madaktari walipompima walibaini presha yake ipo chini, lakini muda wa jioni hali ilibadilika wakampeleka Hospitali. Hata hivyo ikaonekana presha yake ilikuwa sawa na akaruhusiwa kurudi nyumbani, lakini wakiwa njiani hali yake ikabadilika kisha wakampeleka Hospitali ya TMJ, huko ndipo alifikwa na umauti," kilieleza chanzo cha taarifa.
Padri Nkwera aliwahi kuhudumu Kanisa Katoliki kabla ya kutengwa na uongozi wa kanisa hilo.
View attachment 3329049
Mwenyezi Mungu akupokee na kukuweka mahali unapostahili.Muasisi wa Kituo cha Maombezi cha Mama Bikira Maria (Marian Faith Healing), Padri Felician Nkwera (89) amefariki dunia.