princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
KivipiAlikiuka mafundisho ya kanisa.
KivipiAlikiuka mafundisho ya kanisa.
Panga anapigwa kafiriBora kutengwa
Kuliko nyie mnaopigana mapanga na kupigana mabomu mixer kutupiana majin
Sawa amna shidaPanga anapigwa kafiri
Long story. Nikipata muda nitaweka version yangu.Ina maana kanisa lilikuwa against uponyaji?
Je lilinufaika na nini kwa waumini kuishi katika mateso?
Yaani Yesu alionaga haya yote.,ndo maana akampa Petro 2 Keys!! Leo hii kuna Dini wanataka wafuasi wao waishi life ya Annodomino ya 340🙏🏽😁Unaweza kuwa mtii kwa watu na mifumo ya dunia lakini ukawa muasi kwa Mungu
Father Nkwera alishika neno kwa jinsi alivyopokea kwa Mungu wake
Mathayo 10:37-39
Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili;
wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili.
Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona.
Acha mbaambaa ukiulizwa alifanya nini umekaza fuvu alikiuka alikiukaUliipaswa kuuliza alikuka mafundisho gani?!
Akili yako kuiepeleka kwenye ngono unakudhalaikiwa wewe mwenyewe.
Wako sahihi kabisa. Hao waliofungua makanisa ni matapeli wanaosababisha matatizo kwenye jamii badala ya kuleta faraja.Madhehebu mengi hasa haya ya Katoliki, Anglican na Lutheran hayataki wokovu, yaani hayataki maombi, ukifanya maombi yanataka sheria zao kama litrugia, unatengwa na kanisa ukifanya hayo na hii ndio sababu wahubiri wengi wameamua kuacha Madhehebu na kuanzisha makanisa yao...
Nitajie dhehebu lisilotenga watumishi ama waumini wake wakienda kinyume na kanuni zao?Kumbe kuna kutengwa tena? Hii dini full ubaguzi, kwenye nafasi yakua Papa mnatengwa hamna Papa mweusi na nyie wenyewe kwa wenyewe mnatengana kanisani , hiyo ni dini au matatizo?
Hakuna dini inayotenga waumini wake zaidi ya wakatolikiNitajie dhehebu lisilotenga watumishi ama waumini wake wakienda kinyume na kanuni zao?
Mzishi wa baba ana radhi.Huyu ndiye yule alipata misukosuko kwa kusali kama walokole na pia aliandika kitabu kilichotumika mashuleni miaka ya 1980s?
Sio kweli, ninafahamu mapadre kadhaa wanaofanya maombezi na wala kanisa halijawahi kuwa na shida nao.Alikuwa akiamini na kufanya maombezi kama wafanyavyo walokole sasa katoliki hawakutaka wakamfukuza na kumtenga.
Nilisikitika pale amba padre alipoombwa aje kumfanyia maombi marehemu kisa hajatoa michango basi wakagoma wakatoliki tunapitia mengi ilibidi wachungaji waje kufanya ibada basi likapita ilo lkn dah inaumaDini ina ubaguzi hiyo siyo mchezo hadi kuzikana huwa wanatengana kuna watu huwa kanisa linakataa kuwazika na ni wakatoliki wenzao
Unafahamu kwamba Judith Wambura (Lady Jaydee) alikua msabato? Unajua nini kilitokea, unafahamu kuwa Zabron Singers walitengwa kwasababu tu wimbo wao wa Mkono wa Bwana ulianza kupigwa Bar? Nina ndugu zangu ni FPCT wametengwa kisa tu wameozesha binti yao kwa Mkatoliki, kijijini kwetu miaka kadhaa iliyopita kuna Sheikh mmoja maarufu alitengwa na waamini wenzake kisa tu alipanga Mahari ya Binti yake.Hakuna dini inayotenga waumini wake zaidi ya wakatoliki
Alikuwa mshiriki
Kwenye ukatoliki Kuna makundi mawili ya kiimani. Lile la kimapokeo (ukatoliki wa kisasa) ambalo ndani yake unakuta hao charismatics/uhamsho ambao wanafanya ibada zao kwa mtindo wa kilokole kama mambo ya kunena kwa lugha na vitu vingine vingi ambavyo baadhi ya wakatoliki wenyewe wanapishana kimtazamo na Lile kundi ni lile la ukatoliki asilia ambao wanafuta misingi yote ya kanisa katoliki la kale kiibada na taratibu. Ndani yake ndo utamkuta Fr. Nkwera na wengine kama haoHuduma yake vs charismatic kuna tofauti gani? Mbona charismatic imeruhusiwa.
Pumzika kwa amani Fr. Nkwera
We endelea kuandika comment ndefu na ni mkatoliki usitoe michango kanisani uone kama hujatengwa hata ukifa hawakuziki unatupwa kama mzogaUnafahamu kwamba Judith Wambura (Lady Jaydee) alikua msabato? Unajua nini kilitokea, unafahamu kuwa Zabron Singers walitengwa kwasababu tu wimbo wao wa Mkono wa Bwana ulianza kupigwa Bar? Nina ndugu zangu ni FPCT wametengwa kisa tu wameozesha binti yao kwa Mkatoliki, kijijini kwetu miaka kadhaa iliyopita kuna Sheikh mmoja maarufu alitengwa na waamini wenzake kisa tu alipanga Mahari ya Binti yake.
Sasa unaposema hakuna dhehebu nashindwa kukuelewa.
Kuhusu Fr. Nkwera kutengwa, kuna vitu haviwekwi sawa na vile tu kanisa halina tabia ya kutolea ufafanuzi masuala yake (japo kwa kipindi kile Kardinali Pengo aliwahi kuliongelea suala hilo), Padre wa kanisa katoliki hatengwi, bali anawekwa kizuizini (Ex communicate) ambapo anazuiwa kuadhimisha misa takatifu isipokua ya kwake mwenyewe, na anakua chini ya uangalizi wa Askofu fulani (mara nyingi anapelekwa kwa askofu tofauti na aliekua anamsimamia), baada ya kizuizi chake kuisha na kufanyiwa tathmini anarejeshwa kwenye huduma kama kawaida. Vinginevyo aombe kuondolewa daraja la Upadre, mchakato ambao ni mrefu na ni lazima aandika barua kwenda kwa Papa, na ajibiwe kuelezwa kuwa ombi lake limekubaliwa.
Hapana kile ni kituo Cha Sala za maombi sio kanisa japo Misa zinadhimishwa pale Kila siku na mapdri mbalimbali kutoka nje na ndani ya nchi. Na mapdre wengi hapa nchini hawapongani na huduma zake coz ni sala zile zile zinazosaliwa na kanisa katoliki.Kwanini alitengwa na kanisa padrre nkwera?