TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

RiP Felician Nkwera
 
Alilitikkisa kanisa Katoliki vilivyo
 
Kumbe walimtenga
 
Mwenyezi Mungu akupokee na kukuweka mahali unapostahili.
R.I.P Fr.🌹
 
Kumbe kuna kutengwa tena? Hii dini full ubaguzi, kwenye nafasi yakua Papa mnatengwa hamna Papa mweusi na nyie wenyewe kwa wenyewe mnatengana kanisani , hiyo ni dini au matatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…