Laliga yaipongeza Yanga kuwa timu ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kucheza mechi 49 bila kufungwa


Umeandika hisia badala ya uhalisia. Mechi kadhaa ambazo hazizidi tatu ndio imetokea maamuzi ya kutatanisha kwa waamuzi yaliyoyanufaisha Yanga tena hapo ni tokea msimu uliopita hadi hapa tulipofikia. lakini hayo makosa ya waamuzi hayakuibeba Yanga bali kila timu imeyapata ikiwemo Simba. Na pia yapo makosa ambayo yameionea Yanga ikumbukwe hilo pia.

Tu assume kama ulivyotaka wewe kuwa hao la liga wanapata nafasi ya kuangalia mechi za Yanga ili kujiridhisha ubora wao.

Mechi zote za Yanga vs Al Hilal, Yanga walitawala mchezo na Al Hilal hakuna mpira wa maana waliocheza.

Tukuja kwa Club African ndio kabisa Africa imeshuhudia timu ya Tanzania ikiitoa timu kutoka uarabuni wakiwa nyumbani kwake.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti kusini mwalimu jangwa la Sahara kwahiyo APR wako Kuwait au Bangladesh
 
hahahahaha
 
Afu we ulikuwa chaka gani kwenye mechi yenu ya mwisho?

Nilifikiri utanikanusha kuwa katika hizo unbeaten hakuna mechi mlizoshinda illegal au kuepuka kipigo kwa maamuzi mabovu ya refa

Club africain nao ni waarabu?
 
Afu we ulikuwa chaka gani kwenye mechi yenu ya mwisho?

Nilifikiri utanikanusha kuwa katika hizo unbeaten hakuna mechi mlizoshinda illegal au kuepuka kipigo kwa maamuzi mabovu ya refa

Club africain nao ni waarabu?

Maamuzi mabovu kwenye ligi yetu ni tatizo sugu, uongozi wa Yanga uliwahi kuipiga kelele lakini hakuungwa mkono na vilabu vingine, lakini inapotekea mnufaika ni Yanga basi kelele za bahasha zinakuwa nyingi. Ila ikitokea mnufaikaji ni Simba au klabu zingine basi ni kumya. Tukubali, tukatae ila Tanzania tuna tatizo kubwa la waamuzi.

Kuhusu Club African, unasema sio waarabu haya naomba niambie sio waarabu ni wanani?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Sasa La liga ndo nini si ligi tuu kama ilivyo NBC...sisi tushazoea kupostiwa kwny page za CAF
Wivu mbaya mkuu, mwanamke mzuri una roho ya hovyo kwani ungepongeza ungekatwa kichwa?
 
Wivu mbaya mkuu, mwanamke mzuri una roho ya hovyo kwani ungepongeza ungekatwa kichwa?
Sio lazima...kwani nyie mlishawahi kupongeza japo kdg tuu mafanikio ya Simba kuiwakilisha nchi kwny hizo hizo robo fainali?.si mnaponda kila siku..tafuta sehemu zingine nazocomment kwny game za Tz naweza sifia ila kwa hili wacha tukerane tuu kama nyie mnavyotuponda.
 
Ilikiwa inapiga kele kwasababu ilikuwa hainufaiki na hayo maamuzi

Penati ya Morisson ilikuwa ni ya aibu sana na ndio maana at least tuliona baadhi yenu tuliwaona mkichutama

Lakini to be fair mlitakiwa muishie mechi ya 28 ambayo mlicheza na Ruvu (kama sikosei). Kuna bao la halali mlifungwa lakini refa akalikataa
 
Waamuzi wabovu mechi za Yanga tu? je Yanga ndio wanufaika pekee ligi nzima .? Je Yanga hawahi athiriwa na maamuzi mabovu?
 
Hapo sasa unaongelea ubora wa ligi kwa ujumla., tukiangalia kwa mechi zote izo ambazo yanga amecheza kumekua na makosa mengi sana ya marefa na wachezaji wa timu pinzani kwa ligi nzima kiujumla yaani sio kwenye mechi za yanga tu nitakupa mifano michache makosa ya kipa wa singida big starz yaliyopelekea banda kufunga goli, makosa ya refa yaliyopelekea goli mzarimu kuruhusiwa wakati bocco alikua offside katika mechi ya simba vs mbeya city, makosa ya refa yaliyoipa azam penati isiyo halali, makosa ya nyosso yaliyosababisha red card ya kizembe kupelekea timu yake kuelemewa na kufungwa dhidi ya azam, makosa ya refa yaliyoipa yanga pemati isiyohalali dhidi ya geta gold n.k makosa yamekua yakitokea kwa ligi nzima kiujumla na ndipo hapo yanga akaweza kumaliza game 49 bila kufungwa tukisema makosa ya marefa na wachezaji wa timu pinzani ndio yamefanikisha unbeaten ya yanga basi inabidi tukubaliane katika mechi zingine tofauti na za yanga hayo makosa hayakuwepo kitu ambacho sio sahihi.. kwaiyo tueleane kuwa katika iyo iyo ligi ambayo kumekua na maamuzi ya utata ndio yanga akaweza kuwa unbeaten na timu zingine zikashindwa
 
Hawezi kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…