Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mbona timu nzima imejaa viaziTeam yake ya maangamizi
1. Makonda
2. Ali happi
3. Muro
4. Gondwe
5. Chalamila
5. Ole semdeka
6. Sabaya
7.Gambo
8. Mwakyembe
9. Mwigulu
10.....etc
Ndio inamwangamiza. Matemdo makuu ya Mungu.
Kagame ndie aliyempoteza alidhani principal za kuongoza rwanda ni the same za kuongoza tz.Alianza vizuri Sana kabla ya kulewa pombeMagufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
Kagame ndie aliyempoteza alidhani principal za kuongoza rwanda ni the same za kuongoza tz.Alianza vizuri Sana kabla ya kulewa pombe
Toka lini amekuwa mchapakazi zaidi ya propaganda kutumia ukali kufichia udhaifu wake, ujenzi ndio wanamjua zaidi hamna kitu pale bora angalau angebakia kwenye kuhesabu kilometers za barabara tu huku anapwaya Sana bila yule mwizi mwenzake waliyeiba wote nyumba zetu za serikali Hadi kuwagawia mahawara zao asingepata nafasi ya kutesa na kuumiza watz.Kweli kwa HULKA za uchapakazi alizokuwa nazo. Lakini alitishika na matokeo ya 2015 maana anajua ukweli. Na ukweli ule ulikuwa ni tishio kuwa 2020 hachomoki. So ilimlazimu kufanya hivi alivyofanya akafata ushauri wa maharamia. Sasa inakula kwake
Ngome ya kusini nayo si ya CCMLissu kaibomoa CCM kanda yote ya Ziwa ambayo ndio iliyokuwa Ngome ya CCM
Gwajima nenda naye Chato. Kawe hapati kura. Tunajiunga na wajumbe wa kura za maoni kumkata mkia tena. Nenda naye msukuma mwezako mkaendeshe midoli Chato international airport.Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda aliona mwanafunzi kichwa kinakuwa kikubwa kuliko Mwalimu.Naona na saizi uswahiba umeisha kabisa na huyu alichangia kumpoteza kabisa
Sasa hivi Lissu kaikamata Nyanda za juu kusini Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini sasa kilichobakia Daresalama aende kumalizia kaziNgome ya kusini nayo si ya ccm
Magafuli hashauriki, hivyo waliomzunguka walikuwa wanamwambia yale anayopenda kuyasikia, hao mnaowaita washauri mnawabebesha msalaba usio wao, Sent using Jamii Forums mobile app
Anashinda tena mkuuMagafuli hashauriki, hivyo waliomzunguka walikuwa wanamwambia yale anayopenda kuyasikia, hao mnaowaita washauri mnawabebesha msalaba usio wao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar wanajielewa ni wengi.Sasa hivi Lissu kaikamata Nyanda za juu kusini Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini sasa kilichobakia Daresalama aende kumalizia kazi
Nileteeeni GwajimaaaaaaGwajima nenda naye Chato. Kawe hapati kura. Tunajiunga na wajumbe wa kura za maoni kumkata mkia tena. Nenda naye msukuma mwezako mkaendeshe midoli Chato international airport.
Kupendwa Raha jamani
Ni kama vile alikuwa anatoa amri...Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wako mjinga ndiyo maana amefutika kwenye ulimwengu wasiasa hovyo kabisa kama litoto lake.Hata Mzee alidekiwa balabala, rakini akushinda ulais. Kwahiyo ni utopolo mtupu tu
Kosa lako lipo hapa.Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Hahahahahaaaa!!!Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji84
Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana Mwalimu kampiga student mzigo wa maana aliouficha kwa ticha, na kupelekea student kutotaka tena kusoma tuition baada kuliwa ada. Ticha ni janja janja Sana.Naona na saizi uswahiba umeisha kabisa na huyu alichangia kumpoteza kabisa