Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Kikwete ndipo alipoibua msemo "kujimwambafay:

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Aisee we jamaa umewaza km mimi. Dah Magu nilimpenda sana. Aliondoa yale mazoea ya kisenge serekalini.
Sema tatizo lake la kuminya asiowapenda au wanaompinga imekaa kidictator sana.
 
Magufuli kosa lake kubwa ni kujisikia fahari kuwa na wasaidizi wakali na makatili ambao nao baada ya kujua kuwa boss wao anafurahia kaliba yao ndipo wakazidi kuvimba kichwa. Kwa Tanzania hilo ni kosa kubwa sana.

Halafu kama kuna kosa Magufuli alifanya basi ni tukio la Lissu kupigwa risasi halafu hakuna hatua yoyote iliyofanyika. Yani kuna maeneo Lissu akipita mpaka wazee wanalia machozi. Na jinsi alivyo mpole na mwenye upendo kumfanyia vile ilikuwa ni kosa kubwa sana.

Lissu alipoenda Rombo akaelezea matukio ya Ben na Akwilina na walipomuona yeye alivyo basi watu wakaanza kulia.

Kiukweli Magufuli amelea ukatili mkubwa sana na huyo mtu mwenye roho ya kumpigia kura basi kwa vyovyote vile ni katili kama yeye.
 
Hao wakina Bashite mnawasingizia..kuna baadhi ya mawaziri vivuli ndio wanamshikia akili..ndio maana Ben alivyoondoka alilia sana..
 
KMMK waklai wewe fundi25 tangu nijiunge JF tarehe 9/9/2009 sijawahi pewa "dislike"
Dah ndio ushantia gundu hivyo Hem ifute basi au njoo pm nukupe hata bakhshishi ufute HAHAHAHAHAHAHAH
Poa mkuu Ila usiwatishe watu tena Acha tufanye jambo letu 28 October
Nina ondoa bila kinyongo ila PM siji mkuu
 
Poa mkuu Ila usiwatishe watu tena Acha tufanye jambo letu 28 October
Nina ondoa bila kinyongo ila PM siji mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣 Safi sana mkuu. Nimeona juhudi zako mkuu. Haina haja ya pm.
 
Lissu kaibomoa CCM kanda yote ya Ziwa ambayo ndio iliyokuwa Ngome ya CCM

Kwa hiyo kaibomoa kwakuwa kapigiwa deki? Na Lowasa je? Hahahaha naomba msikimbie jukwaa tarehe 28
 
we kwa akili zako unadhani ndio unaweza kumshinda maghufuli uchaguzi huu?? Jitekenye na ucheke mwenyewe, watu walimpigia deki Lowasa, wana ccm waliogopa kuvaa sare 2015 nini kilitokea? tafuta pesa acha kudhani Lissu atakuwekea hela mfukoni jombaa!
Pole sana ,zama zimebadilika,kama unafamilia jalibu kuitazama uone hisia zao,tatizo mliishi kwa mazowea, WANANCHI ndiyo wenye Nchi wakiamua wanaweza kuwapumzisha MaCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…