Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Hakika Ni ujinga na upuuzi kwa Umri wa Rais Magufuli KUFUATA USHAURI WA VIJANA WAVUTA BHANG Kama kina MAKONDA, GAMBO,CHALAMILA, KIBAJAJI, MSUKUMA, etc akaacha kuchota Busara za WAZEE k.m. MZEE MWINYI, MZEE MKAPA, MZEE KIKWETE etc. Kikwete aliwahi kushauri akasema, UPINZANI SIYO UADUI lakini akapuuzwa kwa kumbiwa "ANAWASHWA". Mzee wa Msoga akaufyata!!
Kikwete ndipo alipoibua msemo "kujimwambafay:

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Magufuli nilimpenda sana kuanzia Nov 2015 mpaka Mei 2016. Kipindi hicho alinifanya niwe na fahari kuwa Mtanzania. Kwa kweli sijui nini kilitokea akabadilika na kuwa shetani kama alivyo leo. Kipindi hicho hata nchi nyingine zilituonea wivu kuwa na Magufuli. Sidhani kama kuna nchi yoyote ambayo kwa sasa inatamani kuwa na Magufuli tena. Mgema alisifiwa, tembo akalitia maji! Simpi kura yangu hata kidogo. Labda NEC wampe tu.
Aisee we jamaa umewaza km mimi. Dah Magu nilimpenda sana. Aliondoa yale mazoea ya kisenge serekalini.
Sema tatizo lake la kuminya asiowapenda au wanaompinga imekaa kidictator sana.
 
Magufuli kosa lake kubwa ni kujisikia fahari kuwa na wasaidizi wakali na makatili ambao nao baada ya kujua kuwa boss wao anafurahia kaliba yao ndipo wakazidi kuvimba kichwa. Kwa Tanzania hilo ni kosa kubwa sana.

Halafu kama kuna kosa Magufuli alifanya basi ni tukio la Lissu kupigwa risasi halafu hakuna hatua yoyote iliyofanyika. Yani kuna maeneo Lissu akipita mpaka wazee wanalia machozi. Na jinsi alivyo mpole na mwenye upendo kumfanyia vile ilikuwa ni kosa kubwa sana.

Lissu alipoenda Rombo akaelezea matukio ya Ben na Akwilina na walipomuona yeye alivyo basi watu wakaanza kulia.

Kiukweli Magufuli amelea ukatili mkubwa sana na huyo mtu mwenye roho ya kumpigia kura basi kwa vyovyote vile ni katili kama yeye.
 
Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
Hao wakina Bashite mnawasingizia..kuna baadhi ya mawaziri vivuli ndio wanamshikia akili..ndio maana Ben alivyoondoka alilia sana..
 
KMMK waklai wewe fundi25 tangu nijiunge JF tarehe 9/9/2009 sijawahi pewa "dislike"
Dah ndio ushantia gundu hivyo Hem ifute basi au njoo pm nukupe hata bakhshishi ufute HAHAHAHAHAHAHAH
Poa mkuu Ila usiwatishe watu tena Acha tufanye jambo letu 28 October
Nina ondoa bila kinyongo ila PM siji mkuu
 
Poa mkuu Ila usiwatishe watu tena Acha tufanye jambo letu 28 October
Nina ondoa bila kinyongo ila PM siji mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣 Safi sana mkuu. Nimeona juhudi zako mkuu. Haina haja ya pm.
 
Lissu kaibomoa CCM kanda yote ya Ziwa ambayo ndio iliyokuwa Ngome ya CCM

Kwa hiyo kaibomoa kwakuwa kapigiwa deki? Na Lowasa je? Hahahaha naomba msikimbie jukwaa tarehe 28
 
we kwa akili zako unadhani ndio unaweza kumshinda maghufuli uchaguzi huu?? Jitekenye na ucheke mwenyewe, watu walimpigia deki Lowasa, wana ccm waliogopa kuvaa sare 2015 nini kilitokea? tafuta pesa acha kudhani Lissu atakuwekea hela mfukoni jombaa!
Pole sana ,zama zimebadilika,kama unafamilia jalibu kuitazama uone hisia zao,tatizo mliishi kwa mazowea, WANANCHI ndiyo wenye Nchi wakiamua wanaweza kuwapumzisha MaCCM
 
Back
Top Bottom