Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Si umeerewa lakini, au?Balabala = barabara
Ulais = urais
Kajifunze kwanza matumizi ya L na R
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umeerewa lakini, au?Balabala = barabara
Ulais = urais
Kajifunze kwanza matumizi ya L na R
Nenda kule field uone. Hapa ni kijiwe cha soga tu. Huku ground tumeshamaliza kazi.mnashinda mitandaoni mnadhani ushindi ndio unapatikana humu
Hehehe This is Lissu meen!Hata mgombea wa "Saccos" 2015 alidekiwa barabara na matokeo wote tunayafahamu
Daah hivi huwa hausikii aibu? Ukikosolewa kubali kujifunza. Au ndio umekuwa Mtumwa wa huku 7 ? 😂😂😂😂😂Si umeerewa lakini, au?
Aibu? Mimi?Daah hivi huwa hausikii aibu? Ukikosolewa kubali kujifunza. Au ndio umekuwa Mtumwa wa huku 7 ? 😂😂😂😂😂
Nilijua tu dishi linayumba lakini sikutegemea kwa kiasi hicho! Rudi shule tuu huna namnaHata Mzee alidekiwa balabala, rakini akushinda ulais. Kwahiyo ni utopolo mtupu tu
Kiongozi wa waagizaji movie za kisiasaHehehe This is Lissu meen!
Hapa tu mnanishangaza.... Utaskia kma mafuriko hata lowassa alikua nayo, kama kudekiwa hata lowassa. Hivi nikuulize, wewe una amini kabisa lowassa aliangushwa na JPM tena kwa gap ya kura million 2?we kwa akili zako unadhani ndio unaweza kumshinda maghufuli uchaguzi huu?? Jitekenye na ucheke mwenyewe, watu walimpigia deki Lowasa, wana ccm waliogopa kuvaa sare 2015 nini kilitokea? tafuta pesa acha kudhani Lissu atakuwekea hela mfukoni jombaa!
hongera sanaTuliobahatikaaaView attachment 1601259
Nina elimu kuliko wwNilijua tu dishi linayumba lakini sikutegemea kwa kiasi hicho! Rudi shule tuu huna namna
Kijana mzuri lakini umeamua kupoteaTuliobahatikaaaView attachment 1601259
Umeerewa ndiyo lugha gani?Si umeerewa lakini, au?
Sijaerewaa .Si umeerewa lakini, au?
Hayo maneno hata mtu wa mirembe anaweza kuyasemaNina elimu kuliko ww