Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Wasilete upendeleo wote mpira anaoupiga tunauonaDogo wamoto huyo
Ni hatari sana wasilete upendeleo wao hamna mtu asieona kazi ya dogo anatishaaHuyu mtoto anamiguso hatari sana.
No offense dogo afanya vizuri, lakin kusema ni zaidi ya ronaldinho, messi, na ronaldo ni kuwatukana hao legendsNimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi
Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana mafanikio akiwa na miaka 17 acheni wivu muwe kama Mimi kuongea uhalisia
Nilishatoa tahadhari juu wivu weka pembeni Sina mda wa kubishanaNo offense dogo afanya vizuri, lakin kusema ni zaidi ya ronaldinho, messi, na ronaldo ni kuwatukana hao legends
Unless umeanza kuangalia mpira majuzi, prime ronaldinho ,prime messi, prime c.ronaldo walikwua wachezaji top cream kabisa. Yamal hajafika hapo
Nilishatoa tahadhari juu wivu na mtoto wa miaka 17 weka pembeniMkuu mbona unaongea kama umekatwa kichwa baada ya kushiba makande apo kwa shemeji yako?!
Niambie uyo Yamal msimu huu kamshinda nini Dembele mpaka saivi??
Au kwa sababu Dembele haongelewi?
Hata magoli kazidiwa kila kitu na Dembele yupo final Uefa.!
Mnampa kichwa Yamal lakin mnashindwa kujua kitakwimu kazidiwa na wachezaji wengi tu..
Nilishatoa tahadhari juu wivu weka pembeniKumfananisha na Ronaldinho, kumenifanya nikuone ni Mjinga wa kutupwa
Weka takwimu acha kuongea kama wenzako huko facebook..kitu gani kimfanye achukue Balon dior?Nilishatoa tahadhari juu wivu weka pembeni
Wivu weka pembeni fanya kazi Kwa na we utafanikiwa bidii usimuonee wivu mtoto wa miaka 17Weka takwimu acha kuongea kama wenzako huko facebook..kitu gani kimfanye achukue Balon dior?
Fact, wanamkuza sana! Osmane Dembele kafanya vizuri zaidiMkuu mbona unaongea kama umekatwa kichwa baada ya kushiba makande apo kwa shemeji yako?!
Niambie uyo Yamal msimu huu kamshinda nini Dembele mpaka saivi??
Au kwa sababu Dembele haongelewi?
Hata magoli kazidiwa kila kitu na Dembele yupo final Uefa.!
Mnampa kichwa Yamal lakin mnashindwa kujua kitakwimu kazidiwa na wachezaji wengi tu..
Sio wivu, ni facts. Look at stats na mafanikio ambayo wameyapata hao wachezaji wakiwa katika umri wa lamine yamalNilishatoa tahadhari juu wivu weka pembeni Sina mda wa kubishana
Wivu weka pembeni fanya kazi Kwa bidii na wewe utafikiwaFact, wanamkuza sana! Osmane Dembele kafanya vizuri zaidi
We huangaliagi mpira unasikiliza kwenye redio DStv Kila siku wanarudia hizo games za hao wazee hawana jipya walikua wanapewa sifa za bure tu labda unawivu kwakua ni dogo miaka 17 tu😂😂😂😂😂Sio wivu, ni facts. Look at stats na mafanikio ambayo wameyapata hao wachezaji wakiwa katika umri wa lamine yamal
yes yamal yuko vizur ni kweli, bado hajafikia peak age ana safari ndefu but its too early kusema amewazidi hao ,too early
Dogo nimeanza kuangalia mpira before hujazaliwa. So have some damn respect for og’sWe huangaliagi mpira unasikiliza kwenye redio