LAMINE YAMAL, NAOMBA msikilize walau Ally Nipishe na Fraser, kuhusu wanawake utajifunza kitu, anachomaanisha baba yako

Aliyempoteza lamine ni mzee wake mwenyewe jamaa kutwa ilikuwa kula bata na kubadilisha wanawake,enzi lamine akiwa karibu na mzee wake alikuwa na ego kubwa sana huku Baba mtu akifanya fujo za hapa na pale viwanjani mpaka akapigwa marufuku baadhi ya viwanja. Saiv dogo yupo chini ya mama ake hadi mwanamke aliyenae analalamika mama mtu anawabana sana.
 
Ni wapi nimesema baba yake LAMINE haiwezi kiuchumi, kiasi ajutie kutokujipanga kiuchumi, ye kusema hatumiwi pesa Haina mana hana hela ni msisitizo kuonyesha kijana kachikia, sio VEMA kunilisha maneno nisio yasema jifunze kusoma nakuelewa mkuu sawa๐Ÿ‘
 
hivi kuna wanawake wanaopitiaga mambo kama haya anakuwa tajiri kwa juhudi zake anakuja kupoteza kila kitu?
Sifahamu ni timing, KESI nyingi ni za wanaume kufilisiwa, unamfahamu mukoko tonombe alikua yanga, naye kapigwa mali ikiwemo NYUMBA yake na mwanamke
 
Lakini huyo ni baba mkuu, heshima ya mzazi Haina MAPITO Wala wakati mkuu, dogo kumblock nikuoneshe baba yake si chochote kwake
 
Nafikiri Mzee angemuita mwanae ndani wakayamaliza sio kukimbilia media, hicho kitu Kisha mkuta mommy dimpoz, Mzee wake alililalamika kua anaishi maisha magumu ili hali mwanae star, mommy akadai huyo Mzee ni muda alikimbia mama yake na hata mama yake alipo fariki huyo Mzee hakwenda msibani alikua na familia yake mpya
 
Hivi kuna reliable source yoyote ile imeandika hii habari ya Baba wa Lamine kulalamika hivyo?
Isije ikawa tunamlaumu Baba wa Lamine kwa habari za Unaambiwa,nasikia,inasemekana.
Mkuu hii habari ni ya uhakika inaonesha si mashabiki wa mitandao Zaid ya jf, unafahamu LAMINE Kesha badili wanawake wangapi Kwa mwaka huu tu? mara ya kwanza Mzee alimchana dogo NAMI niliona insta nikajua inshu imeishia hapo kumbe Mzee ALIPIGIWA block kimyakimya ndo karudi kulalama
 
Ndo mana Mzee kadai hili sakata Lina mkono wa mzazi mwenzie ambae ni mama mtu
 
duuh mwamba nilikuwa namkubali sana pole yake
Nilimuona miaka hiyo pale coco beach, akiwa na huyo demu, kipindi hicho alikua majeruhi alikua anafanya mazoezi madogomadogo, mi nilijua huyo demu ni mkongo kumbe mbongo
 
Sasa mbona Mzee ndie alie lalamika mwanae kubadili mademu sana kitu ambacho ye hapendi anataka mwanae akaze kwenye soka tu, dogo kamla kichwa
 
Jaribu kua una soma na kuelewa,

Hebu isome tena comment yangu #7 nimetoa maoni kwa wanaume wote,wala comment yangu haikua kumlenga Baba yake na Lamine bali imelenga wanaume wote,

Rudia tena kuisoma hiyo comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ