LAMINE YAMAL, NAOMBA msikilize walau Ally Nipishe na Fraser, kuhusu wanawake utajifunza kitu, anachomaanisha baba yako

LAMINE YAMAL, NAOMBA msikilize walau Ally Nipishe na Fraser, kuhusu wanawake utajifunza kitu, anachomaanisha baba yako

Kwa hiyo mwanao akianza kurudi nyumbani saa tano usiku na hujui ALIKO Toka we sawa tu, anavuta bangi we sawa tu, anaelewa sawa tu ili apotee ajifunze
Ukiona hivyo ujue kakua natimua nyumbani.si unaona kampa block baba yake ina maana amekuwa Sasa mtoto kama huyo si wa kubishana nae.kuhusu mademu SIWEZI kabisa kumkataza mtoto wangu.ndo urijali.
 
Jaribu kua una soma na kuelewa,

Hebu isome tena comment yangu #7 nimetoa maoni kwa wanaume wote,wala comment yangu haikua kumlenga Baba yake na Lamine bali imelenga wanaume wote,

Rudia tena kuisoma hiyo comment.
Jaribu kua unasomea na kuelewa.

Hapa tunamzungumzia nani? Hao unaowazungumzia hawahusiki hivo ukikuta watu wanazungumzia ugali usi zungumzie wali
 
Ukiona hivyo ujue kakua natimua nyumbani.si unaona kampa block baba yake ina maana amekuwa Sasa mtoto kama huyo si wa kubishana nae.kuhusu mademu SIWEZI kabisa kumkataza mtoto wangu.ndo urijali.
Sasa Mzee kahofia kijana alipotea familia itayumba mana ndo ina mtegemea
 
Kwenye maisha usijisahau sana,usitegemee watoto wala mtu yeyote yule,
weka akiba yako ambayo itakusaidia uzeeni mwako,

Dunia inabadilika,vijana wa siku hizi hawashauriki,Dunia imekua na life style nyingine kabisa,huwezi kuwalazimisha hawa vijana wa sasa waishi maisha ambayo sisi tuliyaishi,

Lea familia yako ila usijisahau na wewe mwenyewe.
Na hakiba sahihi panda miti kama huna pesa panda mikaribea itakusaidia baada ya miaka 7 au 10+
 
Back
Top Bottom