Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

V 8 kwenye AC Tu hapa ni zaidi ya Alaska ndiyo maana wajinga (viongozi) wanavaa suti Tu mwanzo mwisho
Nimecheka sana mkuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wale jamaa wana makoti hata ikiwa mwezi wa 11 joto kali
 
Mwamba uyu apa kama umepewa lift ya mkoa unaweza kulilia usishuke[emoji1787][emoji1787] kuna ndege ya ardhini alafu kuna hii Jet fighter LEXUS L570View attachment 2373572
Unaweza tamani safari iendelee tu maana umeme wake sio wa kitoto af ndani kama uko beach unakula ubaridi tu mashimo wala rasta huzisikii 😂😂😂
 
Mi ninalo we huna, kosa la nani?
Donge kooni litakuua!
🤣🤣Ni kweli kabisa mi sina mkuu isitoshe nimeridhika na baiskeli yngu ya phoenix. Kwa barabara zipi hapa Bongo za kujisifia kuipita Brevis ikiwa kwenye speed ya 180. Risk ni kubwa sana kutembea na hyo maspeed kwenye hizi barabara zetu. Mm wala sikuonei Donge mkuu🤣🤣nakwambia tu unajisifia ujinga
 
Mkuu mimi ni motor sports enthusiast.
Michezo hiyo ipo na inafanyika only in selected road strethes, siyo kila mahali.
Haoa nchini road segments za kusupport over 200km/hr zipo chache sana.
 
Gxr v8
Vx v8
🔥🔥🔥
 
Huko hao wanaelewa somo vizuri kabisa, zinaposhupazwa shingo ni huku Magwepande na Kibaigwa.
 
Masaa matano limekuwa bus? Dar -Dom ni km 450 kwa hiyo linatembea zaidi ya km 100 kwa saa?!!

Ameongea kishabiki anadhani eti 5.30 hrs ni machache,
Wakati mimi ni baby walker changu
Dam Arusha natumia 6hrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…