Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

V 8 kwenye AC Tu hapa ni zaidi ya Alaska ndiyo maana wajinga (viongozi) wanavaa suti Tu mwanzo mwisho
Nimecheka sana mkuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wale jamaa wana makoti hata ikiwa mwezi wa 11 joto kali
 
Mwamba uyu apa kama umepewa lift ya mkoa unaweza kulilia usishuke[emoji1787][emoji1787] kuna ndege ya ardhini alafu kuna hii Jet fighter LEXUS L570View attachment 2373572
Unaweza tamani safari iendelee tu maana umeme wake sio wa kitoto af ndani kama uko beach unakula ubaridi tu mashimo wala rasta huzisikii 😂😂😂
 
Mi ninalo we huna, kosa la nani?
Donge kooni litakuua!
🤣🤣Ni kweli kabisa mi sina mkuu isitoshe nimeridhika na baiskeli yngu ya phoenix. Kwa barabara zipi hapa Bongo za kujisifia kuipita Brevis ikiwa kwenye speed ya 180. Risk ni kubwa sana kutembea na hyo maspeed kwenye hizi barabara zetu. Mm wala sikuonei Donge mkuu🤣🤣nakwambia tu unajisifia ujinga
 
🤣🤣Ni kweli kabisa mi sina mkuu isitoshe nimeridhika na baiskeli yngu ya phoenix. Kwa barabara zipi hapa Bongo za kujisifia kuipita Brevis ikiwa kwenye speed ya 180. Risk ni kubwa sana kutembea na hyo maspeed kwenye hizi barabara zetu. Mm wala sikuonei Donge mkuu🤣🤣
Mkuu mimi ni motor sports enthusiast.
Michezo hiyo ipo na inafanyika only in selected road strethes, siyo kila mahali.
Haoa nchini road segments za kusupport over 200km/hr zipo chache sana.
 
TOYOTA Pro Box watoe SUV sasa,
1672773304357.png
 
Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!

Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!

Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!

Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.

Uraibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!

Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!

Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!

Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na Mwigulu Nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!

Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!

Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!

Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!

View attachment 2373415
Gxr v8
Vx v8
🔥🔥🔥
 
Nilishangaa sana Wkt wa hii Vita ya Ukraine Boris(PM wa UK by then) alinunua landcruiser za kutosha na kuzipeleka Ukraine kusaidia Vita,sijui kwanini hakununua Gari yoyote Ile kutoka Landrover(UK) na kuzipeleka field. [emoji1][emoji1].

USA nao wakapeleka LC 70 series huko Ukraine sijui kwanini hawakupeleka Ford,GM etc
Huko hao wanaelewa somo vizuri kabisa, zinaposhupazwa shingo ni huku Magwepande na Kibaigwa.
 
Masaa matano limekuwa bus? Dar -Dom ni km 450 kwa hiyo linatembea zaidi ya km 100 kwa saa?!!

Ameongea kishabiki anadhani eti 5.30 hrs ni machache,
Wakati mimi ni baby walker changu
Dam Arusha natumia 6hrs
 
Back
Top Bottom