raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hata weweBasi kama ndo hvo hata wewe unaweza miliki gari ya kifahari basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata weweBasi kama ndo hvo hata wewe unaweza miliki gari ya kifahari basi
Nimecheka sana mkuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wale jamaa wana makoti hata ikiwa mwezi wa 11 joto kaliV 8 kwenye AC Tu hapa ni zaidi ya Alaska ndiyo maana wajinga (viongozi) wanavaa suti Tu mwanzo mwisho
Unaweza tamani safari iendelee tu maana umeme wake sio wa kitoto af ndani kama uko beach unakula ubaridi tu mashimo wala rasta huzisikii 😂😂😂Mwamba uyu apa kama umepewa lift ya mkoa unaweza kulilia usishuke[emoji1787][emoji1787] kuna ndege ya ardhini alafu kuna hii Jet fighter LEXUS L570View attachment 2373572
Hio Lexus ni mwisho wa matatizo. Very fine Carila lexux LX570 ni nzur sana
Kuna Luxury Cars na Practical Cars.Hakuna luxury car ya seat nane 😳
Tofautisha kati ya luxury and expensive car mark x mpya ipo pia kundi la luxury cars
Hata tupige kelele namna gani hawataacha kutumia V8Nimecheka sana mkuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wale jamaa wana makoti hata ikiwa mwezi wa 11 joto kali
Mi ninalo we huna, kosa la nani?Kujisifia upumbavu tu
🤣🤣Ni kweli kabisa mi sina mkuu isitoshe nimeridhika na baiskeli yngu ya phoenix. Kwa barabara zipi hapa Bongo za kujisifia kuipita Brevis ikiwa kwenye speed ya 180. Risk ni kubwa sana kutembea na hyo maspeed kwenye hizi barabara zetu. Mm wala sikuonei Donge mkuu🤣🤣nakwambia tu unajisifia ujingaMi ninalo we huna, kosa la nani?
Donge kooni litakuua!
Mkuu mimi ni motor sports enthusiast.🤣🤣Ni kweli kabisa mi sina mkuu isitoshe nimeridhika na baiskeli yngu ya phoenix. Kwa barabara zipi hapa Bongo za kujisifia kuipita Brevis ikiwa kwenye speed ya 180. Risk ni kubwa sana kutembea na hyo maspeed kwenye hizi barabara zetu. Mm wala sikuonei Donge mkuu🤣🤣
Basi kama ndo hvo hata wewe unaweza miliki gari ya kifahari basi
Mkuu mimi ni motor sports enthusiast.
Michezo hiyo ipo na inafanyika only in selected road strethes, siyo kila mahali.
Haoa nchini road segments za kusupport over 200km/hr zipo chache sana.
Nani alirate Mark X kama luxury car...Mwijaku au???Hakuna luxury car ya seat nane 😳
Tofautisha kati ya luxury and expensive car mark x mpya ipo pia kundi la luxury cars
Nani alirate Mark X kama luxury car...Mwijaku au???
Siku ukipanda BMW x7 au x5 we si utashukwa na uchiziNilipewa lifti na mshikaji wangu ni Waziri toka Katavi mpaka Dodoma mzee comfortability,standard & speed ya yale magari ni balaa na nusu. Ndio maana wabongo wanalewa uongozi aisee. Hakuna raisi atakuja kupiga stop V8 hawatakubali wajuba wa nchi hii.
x5 badoSiku ukipanda BMW x7 au x5 we si utashukwa na uchizi
Gxr v8Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!
Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.
Uraibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!
Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!
Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!
Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na Mwigulu Nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!
Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!
Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!
Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!
View attachment 2373415
Huko hao wanaelewa somo vizuri kabisa, zinaposhupazwa shingo ni huku Magwepande na Kibaigwa.Nilishangaa sana Wkt wa hii Vita ya Ukraine Boris(PM wa UK by then) alinunua landcruiser za kutosha na kuzipeleka Ukraine kusaidia Vita,sijui kwanini hakununua Gari yoyote Ile kutoka Landrover(UK) na kuzipeleka field. [emoji1][emoji1].
USA nao wakapeleka LC 70 series huko Ukraine sijui kwanini hawakupeleka Ford,GM etc
Hiyo naijua na nishawekaga Uzi wake humu, lakini haina mwrndo kama land cruiser vx v8! Dar Dom 5:30hrs
Masaa matano limekuwa bus? Dar -Dom ni km 450 kwa hiyo linatembea zaidi ya km 100 kwa saa?!!