- Thread starter
- #161
Kipimo cha luxury unachotumia kupima ni kipiHakuna luxury car ya seat nane 😳
Tofautisha kati ya luxury and expensive car mark x mpya ipo pia kundi la luxury cars
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipimo cha luxury unachotumia kupima ni kipiHakuna luxury car ya seat nane 😳
Tofautisha kati ya luxury and expensive car mark x mpya ipo pia kundi la luxury cars
Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Mwenye kufahamu bei halisi ya kumkamata huyu mdudu mkononi ni Tsh ngapi?
Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!
Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.
Uraibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!
Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!
Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!
Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na Mwigulu Nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!
Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!
Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!
Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!
View attachment 2373415
Landrover Range Rove ni gari nzuri sana .Unajua utamu wa gari ni engine perfomance,sasa kwa hizi Vx V8 sio kwamba inazidi zile za europe,ila kwa kweli wamejitahidi kiasi chao,maana kwa wazungu nao ukichukulia machine kama Range Rover sport 2022,kwakweli inabidi Toyota aende shule kwanza...
Babati kuna don mmoja anayo mzee acha kabisaNajua baba ziko tatu tu mpaka sasa! Nilipanda ya mwigulu baba
Wewe unatumia kipiKipimo cha luxury unachotumia kupima ni kipi
Gari ya dollar laki moja plus unasema ni expensive car....ebu google bei ya Lamborghini Aventador halafu urudiHakuna luxury car ya seat nane 😳
Tofautisha kati ya luxury and expensive car mark x mpya ipo pia kundi la luxury cars
Namaanisha kwamba gari la kifahari sio lazm liwe la bei mbayaGari ya dollar laki moja plus unasema ni expensive car....ebu google bei ya Lamborghini Aventador halafu urudi
Fortuner na prado ni sawa na chaser na Mark 11 huwezi kumsifu mmoja ukamponda mwingine maana engine zao ni zile zile.Nimewahi kutembelea fortuner ni balaa
Sasa kama fortuner ni balaa hiyo V8 si ndo itakua balaa na nusu
Upo ibindi mkuu mm nipo kakeseNdugu yangu mfano kama hiyo LC 300 AU LC 200 nitalilisha nini ili litembee na huku kazi zenyewe yule kichaa aliondoka nazo? Tupo huku Ibindi Katavi tunasarura vifusi mtu unaweza kuokota hata robo gram[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
itakuwa gari kwenda shambani bila kukwamaWewe unatumia kipi
Karibu sana mkuu na wanapouzia miwa hapa mashine za karasha za mwanzo utanikuta nimetoa macho tu na miwa yangu sina namna huku najianda kwenda Burundi kufuatia agizo la ndugu yangu mmoja hivi kutoka kiomboi🤣🤣🤣🤣Upo ibindi mkuu mm nipo kakese
Fortuner nadhani ipo tofauti na prado hasa kwa haya matoleo ya sasa hivi...Fortuner na prado ni sawa na chaser na Mark 11 huwezi kumsifu mmoja ukamponda mwingine maana engine zao ni zile zile.
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
Hao waangalia magari ya kina Cr 7 nimeshangaa sana kuona akitetea kitu kwa nguvu kweli..Luxury cars za $150,000 ni nyingi sana tu.
Labda unatafsiri nyingine kwa maana ya luxury cars.
Basi kama ndo hvo hata wewe unaweza miliki gari ya kifahari basiNamaanisha kwamba gari la kifahari sio lazm liwe la bei mbaya
Hao ndo wanamiliki laxury car...sisi wengine tunamiliki vyombo vya usafiri cha kututoa sahemu moja kutupeleka sehemu nyingineHao waangalia magari ya kina Cr 7 nimeshangaa sana kuona akitetea kitu kwa nguvu kweli..
Hizo gari ulizoambiwa na wadau hapo juu ni Luxury car...Hao ndo wanamiliki laxury car...sisi wengine tunamiliki vyombo vya usafiri cha kututoa sahemu moja kutupeleka sehemu nyingine