sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Malkia wangu toka nikuoe sijawahi kukuona umekasirika kama leo. Nimefutilia kwa makini ni kweli amekuudhi sana, na kama ana busara anapaswa kuomba radhi.
Ngoja nikufuate twende kule tukale Bugger.
Achana nae babe.
BABE nimeshaachana nae saa nyingi
Wewe kaka sijui unatafuta nini? Kama vipi mpiganie lara 1 au , Heaven on earth ila niachie Mamndenyi huyu mwanamke namliaga timing kitambo sana. Nimejipendekeza kwake mara kadhaa anaonekana kunipotezea. Labda Madame B unisaidie yawezekana domo langu zege. Halafu Mamndenyi kwanini unajipendekeza sana kwa chama?
Hakuna tabu bora ujitoe japo matumaini yangu yanafifia siku hadi siku.hahahahaha mkuu haya ngoja nimsikilizie lara 1 na heaven on earth
Wewe kijana mali za watu mdogo wangu kaka zako wanapumzika hapo.
Wewe kaka sijui unatafuta nini? Kama vipi mpiganie lara 1 au , Heaven on earth ila niachie Mamndenyi huyu mwanamke namliaga timing kitambo sana. Nimejipendekeza kwake mara kadhaa anaonekana kunipotezea. Labda Madame B unisaidie yawezekana domo langu zege. Halafu Mamndenyi kwanini unajipendekeza sana kwa chama?
Unawafahamu?????

Heaven on earth Hata mi nahisi amekuonea.