Lara 1,Mamndenyi,Preta,Heaven on earth kama nikimpata mmoja wa hawa roho yangu.........


Lol! Mkuu wangu chama naona umeamua kuja kunivunjilia mbali kijiimani changu kidogo nilichokuwa nacho. Mimi bado nitapigania haki ya moyo wangu mpaka nisikie kauli yake Mamndenyi akinipiga chini.
 
Last edited by a moderator:
Duhh my dada Heaven on earth mbona huyu simkumbuki?Au ndio yule huwa anakuja na ile prado nyeupe?Alafu kama ndo yeye basi nakumbuka tunamdai mahari basi kama vipi atupie kwenye Mpesa!
Shemeji nashukuru kwa taarifa, kumbe nyumbani huwa anafika mwingine mwenye Prado, mimi yangu ni ya kilala hoi tu (Harrier) Prado nitaiweza wapi.

Heaven on Earth njoo ujibu huku.
 
Babu jinga, kaa chini ufikiri, mali zako zinaliwa
 
Lol! Mkuu wangu chama naona umeamua kuja kunivunjilia mbali kijiimani changu kidogo nilichokuwa nacho. Mimi bado nitapigania haki ya moyo wangu mpaka nisikie kauli yake Mamndenyi akinipiga chini.
CHAMVIGA
Upigwe chini mara ngapi? kauli hiyo niliyokupa siyo ya chama peke yake; hivi hujui kama chama na Mamndenyi kitu kimoja? CHAMVIGA mbona wataka kujitia tabia ya kuvunja nyumba za watu kama babu fulani!
 
Last edited by a moderator:
CHAMVIGA
Upigwe chini mara ngapi? kauli hiyo niliyokupa siyo ya chama peke yake; hivi hujui kama chama na Mamndenyi kitu kimoja? CHAMVIGA mbona wataka kujitia tabia ya kuvunja nyumba za watu kama babu fulani!

Kwi kwi kwi. Mkuu chama umenichekesha sana japo moyo wangu unaniuma. Mimi sitaki kuvunja nyumba yenu ila naomba niwe hata mfanyakazi wako wa ndani siku ukisafiri nimkampani Mamndenyi. Babu fulani! Jamani muache kulekule huku hafikagi.
 
Last edited by a moderator:
Babu jinga, kaa chini ufikiri, mali zako zinaliwa
Bujibuji
Mbona wajifanya hamzo?? waogopa mali zako kuliwa na kiumbe kilicho kamilika kama Mamndenyi? Ndio ninaposema Bujibuji umezoea vya kuokoteza coco beach vitu vinono na murua kama Mamndenyi huviwezi achilia mbali mali hata akitaka moyo nimpa nimridhishe mwandani wa roho yangu!
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi. Mkuu chama umenichekesha sana japo moyo wangu unaniuma. Mimi sitaki kuvunja nyumba yenu ila naomba niwe hata mfanyakazi wako wa ndani siku ukisafiri nimkampani Mamndenyi. Babu fulani! Jamani muache kulekule huku hafikagi.
CHAMVIGA
Hivi waweza kusafiri na kuacha moyo wako nyumbani? Kazi umeikosa hodi hodi vyumbani sizitaki!
 
Last edited by a moderator:
umevurugwa wewe sio BURE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

i wont even waste my TIME arguing with a person like YOU!!!!!!!!!!!

hahahahaaaaa.....!!!!. pole sana babe wangu. siku nyingine mtu akikuudhi niambie mimi nmfanyizie. haiwezekani akoseshe amani mpenzi wangu. mia
 
chama, leo siko katika moood ya kuongea, kwanza wewe ni chama gani? chama cha madereva wa bodaboda?
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaa.....!!!!. pole sana babe wangu. siku nyingine mtu akikuudhi niambie mimi nmfanyizie. haiwezekani akoseshe amani mpenzi wangu. mia

SAWA babe......,siku nyingine ntakuwaje fasta kukupa taarifa........
 
Kwi kwi kwi. Mkuu chama umenichekesha sana japo moyo wangu unaniuma. Mimi sitaki kuvunja nyumba yenu ila naomba niwe hata mfanyakazi wako wa ndani siku ukisafiri nimkampani Mamndenyi. Babu fulani! Jamani muache kulekule huku hafikagi.
CHAMVIGA mbwembwe zote zile kumbe ulikuwa unakodolea macho

mali za watu una balaa wewe.........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…