Lara 1,Mamndenyi,Preta,Heaven on earth kama nikimpata mmoja wa hawa roho yangu.........

Nilijua ni mimi tu kumbe na wewe...........

sa unajuaje kama nimekuquote hivi

Napata notification lakini sijui nani kanijibu....kwa sababu nakujali wewe mgonjwa wangu basi nakutembelea kila sekunde...........najaribu kukufanya uwe comfortable, ili ufungue mdomo nikupe dawa...
 
Napata notification lakini sijui nani kanijibu....kwa sababu nakujali wewe mgonjwa wangu basi nakutembelea kila sekunde...........najaribu kukufanya uwe comfortable, ili ufungue mdomo nikupe dawa...

hahaa baadae bana hili tatizo linanichosha mwenzio..........likitulia ndo ntarudi tena
 
umefanya vema sana kuwa muwazi, kupenda wakati hakuna sababu, unajipendea tuuuuu! Ila nahofia kama kweli umependa au unawatamani..!!
 
Wapi Bujibuji mwenyewe ashaovatekiwa na chama. Chezea pesa wewe.
CHAMVIGA
Tatizo la Bujibuji anaota sana sasa anafikiria Mamndenyi naye yupo kwenye ndoto kama yeye; mkuu hivi humuonei huruma Bujibuji kutaka kuyavaa maji haya? anataka kutulazimisha kulala matanga hapo sio saizi yake kabisa yeye aendelee tu kuokoteza vidagaa vilivyotupwa na wavuvi vitamfaa kwa mchuzi.
 
aah. so imetumika pesa hapo na sio mapenzi basi

walimwengu tafuteni vigoda mkae chini mtakufa na vijba vya roho!!! Penzi shatashata tuachieni tujinafasi!!! jamani pesa hapa matokeo tu sasa kama ipo asiitumie!! mwacheni Mamndenyi wangu!! CHAMVIGA usichoke kaka coco beach mgagaa na upwa hali wali mkavu shauri yako cheleachelea utakuta Bujibuji kavimaliza vidagaa!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha bora mimi niliekuwa nanyata kumtafuta Mamndenyi kuliko huyo Bujibuji aliepokonywa tonge mdomoni.
 
Last edited by a moderator:
Chunga kauli zako bwana mdogo. Umeanza lini kumtamani shemejio? Kikao cha familia kinakuhusu. Baba mkubwa Kaizer apate hizi taarifa.

Duhh kaka umekuwa mkali,Naamini baba mkubwa Kaizer atanitetea!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…