Lara 1 : Naomba kukufahamu, hilo tu! Wana JF nifahamisheni kuhusu huyu dada

sioni

Senior Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
123
Reaction score
68
Lara 1: Naomba kukufahamu, hilo tu! Nimefuatilia na nimesoma posts zako nyingi, na i dont knw..hii ya kuhusu yule jamaa...imeninanii kidogo! Waungwana wa JF nisaidieni nimfahamu huyu dada, nifahamisheni before its too late, pengine naweza kubahatika! NB: Kila alichokuwa anatushauri sisi wanaume naona kama vile alikuwa anaongea nami...sasa naombeni mnisaidie niseme naye jamani kabla hajaruka. Pliiz
 
lara 1 njoo pande hii tafadhali. Kuna njemba yataka semezana nawe
 
Last edited by a moderator:
tembelea profile yake
pinga naye urafiki kwa kutuma friend request
msalimie kwa PM
baadaye omba ushauri hata wa kijifanyisha kwa PM ofcourse
with time muombe counseling ya ana kwa ana (ila ubehave la atakuja kutusimulia kwa thread shauri zako)
then utakuwa umemjua.
Sema asante kwa ushauri!
 
Naona karibia ngoma inapata mpigaji

lara 1 KUJA HUKU VEVE.....
 
Last edited by a moderator:
Kila la Kheri kwenye kusemezana nae ila Umenifurahisha hapo tu Mkuu,

"naona kama vile alikuwa anaongea nami"
 

Da Mkubwa naomba niseme na mimi....................Aksante kwa ushauri teh teh teh
 
Da Mkubwa naomba niseme na mimi....................Aksante kwa ushauri teh teh teh

hahahah, nawe unapenda kumfahamu?
sijui kwanini mimi napenda niback na jinsi ninavyowa-imagine watu; yaani wanakuwa jinsi ninavyotaka wawe in my mind. LOL
mfano napenda wewe ubaki jinsi ninavyo kuona a sweet and innocent girl.
 
Yani hadi kutongoza mnataka tuwafundishe?
AshaDii hebu njoo umfundishe huyu dogo namna ya kutongoza, kwa niaba ya Matola naomba utuwekee hapa lililithread namna ya kutongoza.
 
Last edited by a moderator:
Sio kuwa wataka mtoa kucha na meno?
We lara 1 njooo unatafutwa hapa
 
Last edited by a moderator:
hahahah, nawe unapenda kumfahamu?
sijui kwanini mimi napenda niback na jinsi ninavyowa-imagine watu; yaani wanakuwa jinsi ninavyotaka wawe in my mind. LOL
mfano napenda wewe ubaki jinsi ninavyo kuona a sweet and innocent girl.
Hahhahaha..Da Mkubwa Kaunga basi baki hivyo hivyo mwaya, if that is the dress you are dressing me lol......tubakie kujuana hivi hivi mwaya, ki-screen screen tu
 
Last edited by a moderator:


Unaomba kumfahamu personal then unakuja kujaza thread tu hapa,,,au kwenye simu yako au Computer hakuna sehemu ya PM?
 

Naona umetoa ka-course kadogo ka jinsi ya ku-seduce.

Wewe kijana sioni hebe jifunze steps hizo ukishindwa nione pale nyumbani kwangu ninatoa course kwa wale wasiojua kuchangamsha mdomo.

Karibu sana, akili ulizopewa changanya na zako utapata jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…