Lara 1 : Naomba kukufahamu, hilo tu! Wana JF nifahamisheni kuhusu huyu dada

Lara 1....Mmmmmmmmwaaaaaa!!! driving me crazy beybiiiii....!!!:typing:
 


Reputation yako iko fine kabisa
wengine ni too immature to understand
just ignore them
 
Mhhhhh, jamani mlango wa kutokea uko wapi nisije vunja mbavu zangu mie! Na ngoja Lara 1 akianza kuwasema mtatafuta mlango kama mimi!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ninavyomsoma huyu Bidada ni anaangalia mchezo unaendaje alafu anakuja kujibu mapigo.
Salute kwako mama umetisha sasa ngoja na mimi nianze kukufuatilia ila sio kwa nia ya wengine wanavyojua.
Samahani tayari nina Zion Daughter ananitosha.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani utaki kucha na meno yako.
 
sioni uko wapi lara 1 amekuja umemuelewa lakini maana hujaspecify unataka nn kwake hebu mwaga sera
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh, jamani mlango wa kutokea uko wapi nisije vunja mbavu zangu mie! Na ngoja Lara 1 akianza kuwasema mtatafuta mlango kama mimi!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

MIMI NAANDIKA THREAD ZA MAANA ECONOMICS FORUM, MMU, VANCIES SINA MUDA MCHAFU WA KUJIBISHANA NA BAADHI YA WATU.

MFANO KUNA WATU HAPA NIMEIGNORE TU! KUJIBISHANA NAO NI UPOTEVU WA RASILIMALI MDA NA NGUVU!!!!!!! Comment ya mtu Mse.ngery ikuuma ujue basi na wewe ni Jinga kabisaaaa!

Ndo maana unakuta watu wana TRY SO HARD kuniprovok ila sababu nishawaona WASE,NGERY na provocation zao naziona za KISE.NGERY tuuu.

Maisha yangu HUTONIKUTA NAJIBISHANA NAO! Labda waje kwenye thread yangu (Hapo sasa ni trespassing!) Ndo nawanyoosha! Ila thread ya mtu LET THEM KNOCK THEMSELVES OUT! NISHAWAZARAU MIAKA 800000000000000000.
 
Aiseeeeeeer
 

huyo ndio kubwa la maadui,usipoteze time na watu wasio na common sense
I DIG U
 
sioni,
nenda polepole lakini;

 
Last edited by a moderator:
ulichosema ni kwel bidada lara 1 ila sijapenda hiyo stail ya kutoa ilo neno ambalo ulikua na uwezo wa kulimezea ila ukalitapika. tafadhal wakat mwingine ujitahidi kuzuia hasira yako. asante.
 
Last edited by a moderator:

Respect bi mdada! THUMBS UP.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Ahsante Kaunga, niko serious nafanya hivyo!
 
Mhhhhh, jamani mlango wa kutokea uko wapi nisije vunja mbavu zangu mie! Na ngoja Lara 1 akianza kuwasema mtatafuta mlango kama mimi!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mbona unanistua!! Kwani Lara 1 ni mkali hivyo?? Mbona nikisoma between her lines naona ni mtu mzuri sana? Tell me, unadhani ukiwa na mwanamke kama huyu ndani kila siku si mbingu/peponi tu?
 
Mhhhhh, jamani mlango wa kutokea uko wapi nisije vunja mbavu zangu mie! Na ngoja Lara 1 akianza kuwasema mtatafuta mlango kama mimi!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

:disapointed:
 
Nadhani utaki kucha na meno yako.

:whoo:Kwenye eneo hilo niko vizuri, mi nimempenda sasa najua bila maumivu kifaa kama hiki huwezi kukipata! Ingekuwa ni kuingia ulingoni kumgombea basi ningefanya hivyo.
 
sioni uko wapi lara 1 amekuja umemuelewa lakini maana hujaspecify unataka nn kwake hebu mwaga sera

Natafakari maoni ya wadau, wengine wananitisha kutolewa meno na kucha sasa loooh! Nataka niende PM sasa pengine huko ndo ntakatiwa humo? au bora iwe hapa mbele ili mshuhudie jamani? ...meamua kwenda PM msiponiona nimerudi basi mumuulizeni Lara 1. Mi nimempenda na wala sina nia yoyote mbaya. Ana jumbe zenye vitu ndani hata kama anaandika kiutani. Kichwani u can tell..yuko angani bana! Si lazima kumuona mtu ndio umpende...yaani hata kama wakija kunitoa macho ina maana nitaendelea kumpenda tu! Ninatafakari la kuandika asije peperuka!
 

lara 1: Pole kwa hayo, achana nao hao wasikuumize kichwa wala kukutia hasira, tunafaidi mengi toka kwako hapa JF, jua hilo! Nami niko nyuma yako always! ukishindwa (japo sitarajii) niite nije kusaidia.

Mamndenyi, Kaunga, Shansarie etc...nimeanza vibaya hapa?LOOH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…