sioni,
nenda polepole lakini;
Aaah "mtoto halali na hela", lara 1 ni bidhaa adimu kwangu. Kwake hii angeihesabu kama bahati kwangu nitaihesabu kama nini? Nisaidie basi anione hivyo? Bado sijaenda PM nakusanya maoni
Ila kama unamtaka, sijui utaanzia wapi maana mie namuogopa kupitia thread zake tu! Jipange sawa sawa asije akakushinda, na ukimpata njoo hapa utuambie! Nitafurahije kusika Lala 1 kapata kiboko yake? Pengine ataanza kuandika hata thread za heshima dhidi yetu wanaume, labda ataanza kuaogopa na hata kuwasifia wanaume, maana kazidi,,,!
Umejuaje ni mwanamke?
Unazo hizi $$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$
Mikono mitupu ailabwi kwa huyo.
Elezea kwanza wasifu wako
Unaomba kumfahamu personal then unakuja kujaza thread tu hapa,,,au kwenye simu yako au Computer hakuna sehemu ya PM?
hekimatele, nisaidie ndugu yako! Kuongea na huyu dada inahitaji ujasiri, tumia hekima zako nivike ujasiri. Kila nikitaka kum PM mikono inalegea!
Unataka kumfahamu ama unataka kumtongoza? Kuwa straighy basi! Domo zege haikubaliki
Yani hadi kutongoza mnataka tuwafundishe?
AshaDii hebu njoo umfundishe huyu dogo namna ya kutongoza, kwa niaba ya Matola naomba utuwekee hapa lililithread namna ya kutongoza.
Amejenga vipi wacha kupinda maneno, herufi ni tatu tu I LOVE YOU. finish....Matola ndugu yako najua sana ila kwa jinsi lara 1 alivyojengeka kichwani na moyoni mwangu sitaki kukurupuka!
lara 1: Pole kwa hayo, achana nao hao wasikuumize kichwa wala kukutia hasira, tunafaidi mengi toka kwako hapa JF, jua hilo! Nami niko nyuma yako always! ukishindwa (japo sitarajii) niite nije kusaidia.
Mamndenyi, Kaunga, Shansarie etc...nimeanza vibaya hapa?LOOH
lara 1: Pole kwa hayo, achana nao hao wasikuumize kichwa wala kukutia hasira, tunafaidi mengi toka kwako hapa JF, jua hilo! Nami niko nyuma yako always! ukishindwa (japo sitarajii) niite nije kusaidia.
Mamndenyi, Kaunga, Shansarie etc...nimeanza vibaya hapa?LOOH