shaka ondoa mi sidhani we unania mbaya ongea nae pm tu kama hapa unaogopa kutolewa makucha sio watu wote ni wema si unaona washamkorofisha lara 1
Amejenga vipi wacha kupinda maneno, herufi ni tatu tu I LOVE YOU. finish....
Kuliko bakia sasa unatakiwa usome Biblia kitabu cha Mithali kitakupa mwongozo mzuri sana na ndio utazijuwa hekima za Suleiman.
Thank you shansarie! Acha nijifungie naye kule P! Nikiyanyoosha nitarudi hapa ili macho yawatoke vizuri. Wamenikasirishia lara 1 wangu!
Whaaaaaaaaaaaaaaat??!!Ninavyomsoma huyu Bidada ni anaangalia mchezo unaendaje alafu anakuja kujibu mapigo.
Salute kwako mama umetisha sasa ngoja na mimi nianze kukufuatilia ila sio kwa nia ya wengine wanavyojua.
Samahani tayari nina Zion Daughter ananitosha.
Whaaaaaaaaaaaaaaat??!!
Whaaaaaaaaaaaaaaat??!!