Umesahau kidogo.Tz claimed to beat us since 1989 up to today wanatupita.Tunasubiri.in sact this gap will widen cm 2019.Last year you said you'll beat Kenya in 2017. Leo hii unasema 2018 next year utasema 2019. Tulishawazoea nyie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kidogo.Tz claimed to beat us since 1989 up to today wanatupita.Tunasubiri.in sact this gap will widen cm 2019.Last year you said you'll beat Kenya in 2017. Leo hii unasema 2018 next year utasema 2019. Tulishawazoea nyie.
Nooo tunaenda by that IMF report ambayo ndo mleta mada ameinukuu.Last year you said you'll beat Kenya in 2017. Leo hii unasema 2018 next year utasema 2019. Tulishawazoea nyie.
Nooo tunaenda by that IMF report ambayo ndo mleta mada ameinukuu.
Kwenye GDP nominal sawa figures ndo kama alivyoorodhesha mleta mada
Lakini kwenye GDP PPP tumewapita.
Naomba wataalam wanielezee PPP na nominal which is more important kwenye kupima nguvu ya nchi kiuchumi?
Umesahau kidogo.Tz claimed to beat us since 1989 up to today wanatupita.Tunasubiri.in sact this gap will widen cm 2019.
Anza kwanza weweTupe link ya IMF inayoonyesha mmetupita GDP PPP.
Anza kwanza wewe
Lete link ya Imf kenya 75bn
Good.... Walk it.South Africa is losing it..... Wah..... And the kind of comical leadership down there.... mmmh
Wote hamna Akili, kuongelea GDP ya nchi bila ya kulinganisha na idadi ya watu ni ujinga! AK ina watu kama milioni 45 hlabda 50 wkt Nigeria ina watu karibia milioni 200, sasa utasemaje AK inarudi nyuma?
Kweli kabisa hizi treaty kama hazitisaidii wana afrika mashiriki ni bora zifanyiwe marekembisho wote tufaidi mto Nile.jambo la kusikitisha ni kuwa wakenya wanakufa njaa kule turkana ilhali mto Nile inatoka hapa hapa East Africa....Ethiopians are building electric trains and mega dams with water from River Nile while Kenyans starve....yaani inafaa hizo treaty za Lake Victoria zivunjwe....if Kenya TZ and UG cant enjoy Lake Victoria, then Ethiopia and Egypt mustn't...
Vipimo vyao Viki sawa kweli ? Wametumia method gani.ina maana Angola iko poa kuliko Tz ? Au wametumia pato la mtu mmoja mmoja. Au wameangalia mauzo .ambayo wafaidika ni watu wachche mno.
Kenya is not our benchmark but our strategic plan and goals.
Duh! Mara hii umeshakuwa Mtanzania!?...Oh shit. Tz bado tunasoma namba tu?