Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

Ulitaka awasifie kwa kuua Watanganyika, mpaka watoto wadogo? Kukosa akili nako ni shida
kila mtu abebe consequences zake, miowaharibia bishara wamekubali yaliowakuta na nyie bebeni msalaba wenu
 
Kwa nini maswali ya kipumbavu kama haya usimuulize mfugaji wako Samia Suluhu Hassan akiye fanya kila liwezekanalo kusababisha haya yote!

Hivi unataka ukumbushwe kila kilicho sababisha hali hiyo kuwepo?
jibu swali
 
ndio
 
wapi wewe muoga tu, huna lolote
 
ukiwa na machafuko hua wa kwanza kuruka kwenye tukio kurusha maovu yote,
Yeye kaamua kupost hayo kurusha chereko chereko na mapambio kawaachia super brand na ukweli na uhakika wa mchongo pamoja na Ayo tv
 
kwahiyo Larry madowo ndiye anaewalekeza mkateke watu na kuwafira kisha kuwatelekeza misituni
 
Sasa zimedhibitishwa hizo video kwamba ni halisi.
Mazingira ya kufanya kazi tanzania ni magumu sana .
 
Hata useme Nini CCM hamsafishiki
 
You must be a Minister of moron people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…