Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

 

Attachments

  • 807385ecbacd02a24b52b03c5c696267.mp4
    7.2 MB
Sure. After all, she's in a mafia organisation that's riddled with numerous fatal flaws. Having committed such a heinous massacre, it's just a matter of time. Sooner than latter, the seams are going to come apa
What's becoming clear, the massacre was planned, anticipated well ahead of its execution. She will have to explain this.
 
Sawa habari ni mbaya, ila ni za kweli au za uongo?
 
yeye ndo kawatuma muandamane
Wewe hullijui hili. Kama si yeye ni nani aliyesababisha maandamano? Pamoja na kuwa mnyama mfugwaji tu, inalazimu kukujibu hivyo hivyo; uelewe au usielewe yote sawa tu. Acha tukujazie takataka unazotafuta kwenye mada za kipuuzi kama hizi.
 
Hakuna nguruwe anayefugwa anayeishi muda mrefu kama huo, kwa hiyo matarajio yako ni 'misplaced'.
mzee kama una uchungu sana andamana leo 😂, otherwise we ni mpiga kelele tu
 
Wewe hullijui hili. Kama si yeye ni nani aliyesababisha maandamano? Pamoja na kuwa mnyama mfugwaji tu, inalazimu kukujibu hivyo hivyo; uelewe au usielewe yote sawa tu. Acha tukujazie takataka unazotafuta kwenye mada za kipuuzi kama hizi.
wapi wewe muoga tu wewe, kelele nyingi comment kibao vitendo 0
 
Sawa habari ni mbaya, ila ni za kweli au za uongo?
unathibitishaje ni za ukwel na haukua kwenye tukio? aljazeera wakireport ata kama gaza kunarushwa mabomu wapo kwenye tukio, kwa kifupi narrative ya fake news trump aliowapa inawafaa
 
unathibitishaje ni za ukwel na haukua kwenye tukio? aljazeera wakireport ata kama gaza kunarushwa mabomu wapo kwenye tukio, kwa kifupi narrative ya fake news trump aliowapa inawafaa
Umejibu kama msigwa.
Poa bro bye
 
mzee kama una uchungu sana andamana leo 😂, otherwise we ni mpiga kelele tu
Kazi yangu ni kukukumbusha tu kuwa wewe ni nguruwe unayefugwa na Samia. Sina kazi nyingine yoyote tena juu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…