LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

Ukiona mfanya biashara analalamikia vitu vidogo vidogo, hiyo ni dalili kuwa biashara imeanza kumshinda.
Faini za latra ni kitu kidogo? Unafahamu kuwa basi moja laweza pigwa faini hadi milioni moja kwa siku moja ?, tu kwa sababu ya ubovu wa king'amuzi!
 
Hizo pesa mnazolipa mlikuwa mwatoa kwa pesa taslimu au mnapewa control number? Hapo panaweza toa hisia halisi.
Hakuna control number mkuu. tunamlipa mzabuni kwa kurusha kwa simu au benki au cash. tena wengine kutoa risiti za serikali ni kwa shida sana
 
Faini za latra ni kitu kidogo? Unafahamu kuwa basi moja laweza pigwa faini hadi milioni moja kwa siku moja ?, tu kwa sababu ya ubovu wa king'amuzi!
Hayajamkuta ndo maana. Kuna wakati ilikuwa inaonekana waziwazi kama ni mradi maana kama king'amuzi kina utata wa kuingiliwa basi hata mzabuni alikuwa akitupiga faini mpaka laki 5. bosi wetu ameshalipa hiyo mara mbili na gari bado ikafungiwa na Sumatra pia
 
Kwa maelezo hayo, ipo shida mahali. Uchunguzi ufanyike. Hizo bei sio rafiki sana
 
Back
Top Bottom