aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Ni kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku.
Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k.
Kwanini isiwe kama majirani Kenya yawepo mabasi yanayoanza safari asubuhi na route hiyo hiyo yapo yanayoanza safari jioni.
Tumpunguzie mtanzania gharama