[emoji28][emoji28][emoji28]Sasa wananchi mnataka nini?
Kwanini waweke la saa 9 na wanajua mtanzania anakasumba ya kutaka kufika mapema?Kwani analazimishwa?
Si aondoke na la saa 12?
Msafiri huwa anakesha? Nyie ndio wenye imani safari adhabu matesoWewe sio msafiri
Tangu lini msafiri akalala
Mateso ni mateso haijishi wingi wa siku marwaKama hausafiri mara kwa mara sioni tatizo la Siku Moja tu Kuteseka kwa Usafiri. Pia hizo Changamoto ni sehemu ya Zoezi la Kuuchangamsha Mwili wako ili ukiwa Safarini muda wote uwe Umechangamka, uko Active na uweze Kulinda vyema Mizigo yako isipotee kwa Kuibiwa au Kushushwa kwa bahati mbaya mkiwa Safarini.
wewe poyoyo ubongoli wazi hakilin haunazong happy nation inayoondoka saa tisa ina mabasi mengne ya saa 12 bado kuna mabasi kibao ya saa 12 umelazimishwa uondoke saa tisaNi kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku.
Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k.
Kwanini isiwe kama majirani Kenya yawepo mabasi yanayoanza safari asubuhi na route hiyo hiyo yapo yanayoanza safari jioni.
Tumpunguzie mtanzania gharama
Mbona unamfokea mkuu?ππππππGari kibao zinaanza saa 12 ya nini ku diss hizo za saa 10, kwani kuna aliyelazimishwa kupanda za saa 9
Hasira tu mijitu mingine inatia