LATRA mabasi kuondoka saa 9 usiku ni usumbufu na mzigo wa wananchi

Kichwani mweupe kabisa
 

Angalia ratiba inakufaa bro!! Kuna yanayoondoka saa kumi jioni, saa moja usiku, mbili usiku, saa nne usiku na hata hiyo saa tisa usiku. Pia kuna ratiba ya kawaida ya saa kumi na moja alfajiri na saa kumi na mbili hata saa moja, saa mbili na saa nne asbuhi!!

Mie kwangu naona ina manufaa badala ya kusafiri siku nzima mambo yanalala natoka saa moja usiku hapa DSM naingia Arusha asubuhi naendelea na michakato!!

Noliwahi toka Dodoma saa tisa usiku nikaingia Singida saa moja na maisha yanaendelea!! Kuna raha yake, angalia ratiba inayosuit mazingira yako!!
 
Kuna watu wamezaliwa kwa ajili ya kulalamika tu. Kwahiyo Latra walikulazimisha upande gari la saa tisa usiku? Kichwa chako unafugia nywele tu😂😂
 
Majitu kama haya ndio yanataka kuturudisha enzi za ujima
 
Mkuu ndege nyingi husafiri 24 hrs, raia tulalamike usingizi!
 
Yani serikali ikisema isikilize kero za kila mtu itapata sroke...hahahaa
Ndo maana Mungu amekaa zake mbali maana aliwajua hawa binadamu wake bora awasaidie akiwa hamumuoni...
 
Acha kulialia kama mtoto mdogo huoni aibu..wenzako mbona tunaenjoy na huo mda
 
Nimecheka peke yangu.🐵
Yani serikali ikisema isikilize kero za kila mtu itapata sroke...hahahaa
Ndo maana Mungu amekaa zake mbali maana aliwajua hawa binadamu wake bora awasaidie akiwa hamumuoni...
 
Kapimwe akili
 
Kwani si yapo ya mapema unaweza ukachukua hayo au la alfajiri .. wanaweza ya saa tisa watapanga hayo ..na pia sio yote yale yenye vibali tu
 
Mabasi yapo mengi, tafuta la muda unaotaka
Mabasi yapo mengi tafuta la muda unaotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…