Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanachukua kodi then wanakula Winger
Latra nawakubali sana, walking waliingia kwenye basi wakakagua tiketi na kutoa oda wote waliolipa zaidi warudishiwe nauli iliyozidi na wakarudishiwa
Huyo Dereva wa Hilo bus ni mpumbavu
Sema heading na content haviendani
Mwamba atakuwa anaijua barabara haswa maana kwa usawa wa maji ulivyo, lami hapo haionekani...
Nahisi mleta Mada kuna kitu hakiko sawa Latra kazi yake ni kukagua Bus au chombo cha usafiri mwenye Mamlaka na bara na ubovu ni Tanroad
Video yako inaonesha ubovu wa barabara na sio ubovu wa gari hebu pitia vizuriLatra anakagua bus au chombo cha usafiri kwa weledi upi ndugu yangu?
Miaka ya nyuma kuna basi lilifanya huu mchezo likitokea Tanga. Karibu abiria wote walikufa baada ya basi kuzama kwenye maji
Miaka ya nyuma kuna basi lilifanya huu mchezo likitokea Tanga. Karibu abiria wote walikufa baada ya basi kuzama kwenye maji
No challenge(sio new challange)Likiitwa New Challenge aka Tashrif, Tanga barabara ya segera chalinze.
Binafsi safari yangu ingeishia hapo.
Huko kama siyo kupagawa basi kupagawa hakupo!
No challenge(sio new challange)