Latra na Polisi wanapodhibiti ajali kwa ukaguzi usiokuwa na tija stendi barabarani kukiwa hivi, wana mchuuza nani?

Latra na Polisi wanapodhibiti ajali kwa ukaguzi usiokuwa na tija stendi barabarani kukiwa hivi, wana mchuuza nani?

Latra nawakubali sana, walking waliingia kwenye basi wakakagua tiketi na kutoa oda wote waliolipa zaidi warudishiwe nauli iliyozidi na wakarudishiwa
 
Latra nawakubali sana, walking waliingia kwenye basi wakakagua tiketi na kutoa oda wote waliolipa zaidi warudishiwe nauli iliyozidi na wakarudishiwa

Wote ndugu moja hao.

Ingependeza wawe na mabasi yao barabarani tuone.

Hii management by walking around ni upuuzi mtupu.
 
Sema heading na content haviendani

Haiwezi kuwa tofauti, tuko kama tmepagawa!

Wewe ingetokea la kutokea hapo kuna mwenye kujitetea? Dereva, yeyote aliyekuwa humo au mamlaka ipi?

Inakera mno kuwaona Hawa ndugu uvunguni mwa magari wasikokuwa na ABC nako!
 
Nahisi mleta Mada kuna kitu hakiko sawa Latra kazi yake ni kukagua Bus au chombo cha usafiri mwenye Mamlaka na bara na ubovu ni Tanroad
 
Nahisi mleta Mada kuna kitu hakiko sawa Latra kazi yake ni kukagua Bus au chombo cha usafiri mwenye Mamlaka na bara na ubovu ni Tanroad

Latra anakagua bus au chombo cha usafiri kwa weledi upi ndugu yangu?
 
Miaka ya nyuma kuna basi lilifanya huu mchezo likitokea Tanga. Karibu abiria wote walikufa baada ya basi kuzama kwenye maji

Likiitwa New Challenge aka Tashrif, Tanga barabara ya segera chalinze.

Binafsi safari yangu ingeishia hapo.

Huko kama siyo kupagawa basi kupagawa hakupo!
 
Back
Top Bottom