KERO Responded LATRA: Nauli Mwendokasi (DART) kwanini imepandishwa bila taarifa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,120
Reaction score
9,727
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.

Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.

Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?

Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.

Pia soma ~ LATRA: Serikali imeridhia ongezeko la nauli za Mwendokasi, kufikia Tsh. 1,000
 
Kama inavyosomeka hapo juu , jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000. Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.

Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!? Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Samuya alisema tutatumia pesa za ndani kwa sababu misaada itapungua tumeingia kidoa kidogo.

Hukumuelewa alimaanisha nini?

Mitano tena.
 
Wanafidia uharibifu pengine
Mapindunzi yoyote yakianza ni lazima yafike mwisho au yafanikiwe na kutimiza lengo...
Lakini hii ya watu kujiona special na kutaka watu wengine wawapambinie ndio inaleta hizi kero... na huu ni mwanzo.

Nimefanya kampeni hewa
Nimewaua ili kujiapisha
Nimeweka ndugu zangu kwenye cabinet
Nimeweka wabunge ninaowataka....

Na hakuna kitu mtafanya.

Next stop ni kubagaza nchi nitakavyo na hakuna kitu mtafanya zaidi ya kulialia mtandaoni.

CCM na Samia must go ili nchi iwe sawa
 
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.

Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.

Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?

Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Mange aliwaambia Hakikisheni mnakomaa hadi mnamuondoa Samuya,msipomuondoa basi jiandaeni Kwa maumivu Kwa miaka mitano (5) maana hasira atakazokuwa nazo hazitokuwa za kawaida!

Ndo kwanza kumekucha!
 
Ndo maana watu wameikacha mwendokasi baada ya kurudisha daladala.
Imagine Mbezi mpaka posta ni 800 kwa daladala na Mwendokasi eneo hilo hilo ni 1600. Na wanatumia gesi ya hapa hapa na wanabeba watu wengi.

Warudishe daladala zote milele. Mwendokasi iwe option tu
 
Mapindunzi yoyote yakianza ni lazima yafike mwisho au yafanikiwe na kutimiza lengo...
Lakini hii ya watu kujiona special na kutaka watu wengine wawapambinie ndio inaleta hizi kero... na huu ni mwanzo.

Nimefanya kampeni hewa
Nimewaua ili kujiapisha
Nimeweka ndugu zangu kwenye cabinet
Nimeweka wabunge ninaowataka....

Na hakuna kitu mtafanya.

Next stop ni kubagaza nchi nitakavyo na hakuna kitu mtafanya zaidi ya kulialia mtandaoni.

CCM na Samia must go ili nchi iwe sawa
Kwamba ni last born wa Mungu au?
Wamefanikiwa kwa sababu ya matumizi ya nguvu kupita kiasi ya vyombo vya usalama na si vinginevyo.
Ndo maana wanajeshi wanashinda barabarani siku nzima.

Lakin subiri muone ukuu wa Mungu.
 
Ni last born wa shetani, ndio maana nchi inakuwa kama jehanamu.

Mpaka huu uovu ukomeshwe kwa nguvu ya umma ndo tutakaa sawa
 
Mapindunzi yoyote yakianza ni lazima yafike mwisho au yafanikiwe na kutimiza lengo...
Lakini hii ya watu kujiona special na kutaka watu wengine wawapambinie ndio inaleta hizi kero... na huu ni mwanzo.

Nimefanya kampeni hewa
Nimewaua ili kujiapisha
Nimeweka ndugu zangu kwenye cabinet
Nimeweka wabunge ninaowataka....

Na hakuna kitu mtafanya.

Next stop ni kubagaza nchi nitakavyo na hakuna kitu mtafanya zaidi ya kulialia mtandaoni.

CCM na Samia must go ili nchi iwe sawa
Aisee! Hii hali itaenda kuwa mbaya inawezekana kushinda hata Zimbabwe. Mwenyezi Atuepushe Aisee!
 
Ndo maana watu wameikacha mwendokasi baada ya kurudisha daladala.
Imagine Mbezi mpaka posta ni 800 kwa daladala na Mwendokasi eneo hilo hilo ni 1600. Na wanatumia gesi ya hapa hapa na wanabeba watu wengi.

Warudishe daladala zote milele. Mwendokasi iwe option tu
Ni kweli kwa hali hii ni bora daladala nazo ziachiwe zifanye kazi. Raia ndio aamue atumie usafiri anaoumudu. Fikiria daladala kituo kwa kituo nauli 500, huku kwingine kituo kwa kituo 1000!?
 
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.

Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.

Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?

Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Kwa Elfu moja sio mbaya,, muhimu huduma iwe nzuri na isije kupanda Tena nauli,maana hawakawii
 
Wahudumu wamechoka kuwahangaikia chenji za sh 200 na 50...

mbezi - kivukoni/Gerezani inatakiwa walipe 2000

Gaza- kivukoni/Gerezani inatakiwa 1500
 
Ndo maana watu wameikacha mwendokasi baada ya kurudisha daladala.
Imagine Mbezi mpaka posta ni 800 kwa daladala na Mwendokasi eneo hilo hilo ni 1600. Na wanatumia gesi ya hapa hapa na wanabeba watu wengi.

Warudishe daladala zote milele. Mwendokasi iwe option tu
Kumbe hadi Mbagala napo nauli ni ile ile 1000! Nikajua tunaadhibiwa sisi abiria wa Morogoro Road tu, kumbe hadi Mbagala! Kweli kazi tunayo Aisee!
 
Back
Top Bottom