KERO Responded LATRA: Nauli Mwendokasi (DART) kwanini imepandishwa bila taarifa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
mimi raia mwema tu sio msigwa
Raia mwema wakati unajigamba kuwa unaongeza cost toka milioni 10 mpaka 20. Hakuna raia mwema wa aina hiyo. Endelea kula kodi za wavuja jasho ndugu msigwa. Muda wako huu, kula haraka haraka kabla waliolala hawajaamka au kuamshwa.
 
usije ukaishikilia hili kama chadema wanavyoshikilia no reform no election enheeee enheee , nimekupa tu mfano, kwa sababu hata mafuta yafike elfu 10 lita automatic wafanyakazi wa serikalini wataongeza budget ya matumizi ya kawaida, pili posho zitaongezeka , familia zao zitaumia kwa mbali watu kama shangazi, wajomba lakini watoto na wazazi never maaana watapewa tu na wanao, sasa hawa vijana mnaowachochea wao watabalance vp kupanda kwa gharama?
 
Watagawana na nyie wenye nazo si mnaishi kati yao.
 
naomba tuwashauri tu vijana waipende nchi yao, wasishikiwe akili na habili, mange kimbambi na maria sarungi
Walipeni mahela ya kutosha si mnadai wanalipwa na wachochezi toka nje. Wachochezi toka nje wanaweza izidi fedha serikali yetu pendwa ya Tz!?
 
Back
Top Bottom