JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
- Thread starter
- #81
London hapo housegirl analipwa kuliko unavyolipwa wewe na mabwana zako. Halafu huko hakuna machawa kama wewe.nauli ipande hata 2000 ili akili iwakae sawa. yaani nauli ni sawa na senti 10 za dola ya kimarekani na bado unalalamika...
Tembea kwenye majiji ya wenzetu mfano london tu usafiri wa mabasi ya uma ni paundi 1.75....kwa pesa za kibongo 6000...
Tupige kazi wakuu tuache kulalamika