KERO Responded LATRA: Nauli Mwendokasi (DART) kwanini imepandishwa bila taarifa?

KERO Responded LATRA: Nauli Mwendokasi (DART) kwanini imepandishwa bila taarifa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wewe member unayejiita Mkono Mmoja unaandika ujinga sana ingekuwa mimi ni wewe mwenye akili ndogo kama hii uliyo nayo ningekuwa nimeshajiuwa mapema maana nisingekuwa na faida hata kwa wanangu sembuse taifa.
 
Hepa nipo kwenye mwendokasi naenda mbagaraaa one time aisee full kiyoyozii.

VITI VIPO VIZURI YAAN 😃 YAAN ILITAKIWA KAMA TAIFA TUWE MBARII SANAAAAAA

Kwa Sasa dar es salaam ni JOTO SANAA YAANI UKITOKA NJE NI AHERA/ JEHANAMU
watu wamewekewa viyoyozi na bado wanalalamika aisee
 
mlivyochoma vituo vya mwendokasi mlitegemea serikali itoe wapi pesa za dharura kufanya ukarabati ndani ya wiki 2 tu kurudisha huduma?
Hili swali ni vyema ungewauliza wakazi wa Mbagala!? Mwambieni Lake Oil naye apandishe bei ya mafuta kufidia uharibifu, si ndiye mdau wenu.
 
Wewe member unayejiita Mkono Mmoja unaandika ujinga sana ingekuwa mimi ni wewe mwenye akili ndogo kama hii uliyo nayo ningekuwa nimeshajiuwa mapema maana nisingekuwa na faida hata kwa wanangu sembuse taifa.
29-10/9D

mbona ulijifungia ndani ukiangalia sinema zetu?
 
Angalia nilishasemaje kwenye mijadala yangu kuhusu mambo kama haya. Kwa ufupi ni matokeo ya uharibifu. Kama mtu alidhani anaikomoa mamlaka amechelewa. Wacha tufaidike na machumo yetu. Huu ni mwanzo tu. Wacha tule mtori, nyama tutaikuta chini. Mchuma janga hula na wa kwao.
Sawa sheikhe


Vipi maji maeneo yenu yanatoka tuje kuchota
 
Hili swali ni vyema ungewauliza wakazi wa Mbagala!? Mwambieni Lake Oil naye apandishe bei ya mafuta kufidia uharibifu, si ndiye mdau wenu.
Lake oil ana bima....hawezi kupiga kelele..!

Mimi nakaa mbagala pia! Ila siwezi kulalamika wakati naona tumewekewa viyoyozi, basi nyingi za mwendokasi tofauti na awali.
 
watu wamewekewa viyoyozi na bado wanalalamika aisee
Jaribu kuficha upumbavu wako japo kidogo. Kwa hiyo Kiyoyozi kwako ni big deal!? Acha ushamba. Wapi uliwahi ona gari ya kiyoyozi watu wanabanana mpaka mlango unabembelezwa kufunga!? Faida ya kiyoyozi inakuwa wapi hapo zaidi ya watu kunyang'anyana hewa!? Elimika kidogo.
 
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.

Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.

Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?

Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.

Si ni nyinyi ndio mnataka wabakie madarakani sasa madhara yake mmeanza kuyaona watu walikuwa wanapigania waondoke hapo kwenye madaraka ili mfaidike na nchi yenu ila hamtaki sasa bora mu enjoy bora wapandishe mpaka 5000 tu mkipata uchungu ndio mtaelewa....
 
Lake oil ana bima....hawezi kupiga kelele..!

Mimi nakaa mbagala pia! Ila siwezi kulalamika wakati naona tumewekewa viyoyozi, basi nyingi za mwendokasi tofauti na awali.
Nipo hapa nakula kiyoyozii mpaka NAANZA KUZIDIWA NACHOO 😂😂
 
Unasemaje mzee?kwako wewe kutoka Morocco hotel to Fire buku siyo jingi?wewe kuwa na uwezo wa kuilipa hiyo 1,000 siyo tatizo.

Em muwazie mmama mjane anayetakiwa akafungashe dagaa mchele pale ferry aje nao mtaani kuunga unga,aende kwa elfu arudi kwa elfu wakati uwezekano wa kuwaruhusu watu waweke gari zao wafanye nauli Tsh 600 upo ila wanabanwa ili wote mpeleke hela mwendokasi,siyo rahisi kihivyo.
Daladala la kawaida ukipanda na doo lako la dagaa mchele unalipia na mzigo....Wewe na mzigo unalipa 2000

ila mwendokasi hawakuchaji gharama za mzigo wako halafu bado unapata faida kibao kama

-Kutosimama kwenye foleni muda mrefu
-kiyoyozi n.k
 
29-10/9D

mbona ulijifungia ndani ukiangalia sinema zetu?
Umeona ulivyo mjinga?

Mada mezani inasema nini wewe unasema nini!unatesa limwili hilo jiuwe tu mapema uzikwe ijulikane moja kuishi na akili hizi ulizo nazo maisha yako yote ni mtihani sana,nakuonea huruma.
 
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.

Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.

Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?

Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
yaaani 250 ni ela ya kuja kuandika uzuri mrefu
 
Mara hii umekuwa msemaji wa Lake Oil!? Kazi mwendokasi umeacha!? Kiyoyozi sio big deal. Acha ushamba. Umekazania kiyoyozi kiyoyozi , we mshamba wa kiyoyozi!
Lake oil ana bima....hawezi kupiga kelele..!

Mimi nakaa mbagala pia! Ila siwezi kulalamika wakati naona tumewekewa viyoyozi, basi nyingi za mwendokasi tofauti na awal
 
Wewe member unayejiita Mkono Mmoja unaandika ujinga sana ingekuwa mimi ni wewe mwenye akili ndogo kama hii uliyo nayo ningekuwa nimeshajiuwa mapema maana nisingekuwa na faida hata kwa wanangu sembuse taifa.
Mpumbavu sana huyo jamaa. Labda analipwa kuandika humu jukwaani.
 
Waongeze mpaka ifike 5000 ndio tupumzike. Watanzania mnastahili maisha magumu subirini mnyooshwe
 
Daladala la kawaida ukipanda na doo lako la dagaa mchele unalipia na mzigo....Wewe na mzigo unalipa 2000

ila mwendokasi hawakuchaji gharama za mzigo wako halafu bado unapata faida kibao kama

-Kutosimama kwenye foleni muda mrefu
-kiyoyozi n.k
Acha porojo hizo. Mimi napanda na wamama wanaotoka feri kwenda gongo la mboto hawalipii ndoo. Tunapandia daladala Eicher hapa NBC posta ya zamani. Wewe kama umeamua kuwatetea wezi sawa ila acha kutunga porojo.
 
Daladala la kawaida ukipanda na doo lako la dagaa mchele unalipia na mzigo....Wewe na mzigo unalipa 2000

ila mwendokasi hawakuchaji gharama za mzigo wako halafu bado unapata faida kibao kama

-Kutosimama kwenye foleni muda mrefu
-kiyoyozi n.k
Nini maana ya kuitwa usafiri wa “umma”?kwamba ni wa kwako ila wewe unachangia kidogo tu ili huduma iweze ku-survive sasa kuwaje iwe bei kubwa!

Daladala nauli yake inazungumzika hakuna ndoo inayotozwa 2,000 kwenye daladala.
 
yaaani 250 ni ela ya kuja kuandika uzuri mrefu
Mimi silipwi kwa kodi za wananchi na samia kama wewe. Ninyi si mnalipwa kwenye kitengo chenu cha propaganda. Nyie hamuwezi kuwa na shida. Eti 250!? Mafuta yenyewe huwa yanapanda kwa 100 mpaka 200!? Je kwa nini wasipandishe kwa shilingi 500 au zaidi kama 100 na 200 sio hela!?
 
Back
Top Bottom