Samuya alisema tutatumia pesa za ndani kwa sababu misaada itapungua tumeingia kidoa kidogo.Kama inavyosomeka hapo juu , jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000. Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!? Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Mapindunzi yoyote yakianza ni lazima yafike mwisho au yafanikiwe na kutimiza lengo...Wanafidia uharibifu pengine
Mange aliwaambia Hakikisheni mnakomaa hadi mnamuondoa Samuya,msipomuondoa basi jiandaeni Kwa maumivu Kwa miaka mitano (5) maana hasira atakazokuwa nazo hazitokuwa za kawaida!Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?
Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Kwamba ni last born wa Mungu au?Mapindunzi yoyote yakianza ni lazima yafike mwisho au yafanikiwe na kutimiza lengo...
Lakini hii ya watu kujiona special na kutaka watu wengine wawapambinie ndio inaleta hizi kero... na huu ni mwanzo.
Nimefanya kampeni hewa
Nimewaua ili kujiapisha
Nimeweka ndugu zangu kwenye cabinet
Nimeweka wabunge ninaowataka....
Na hakuna kitu mtafanya.
Next stop ni kubagaza nchi nitakavyo na hakuna kitu mtafanya zaidi ya kulialia mtandaoni.
CCM na Samia must go ili nchi iwe sawa
Ni last born wa shetani, ndio maana nchi inakuwa kama jehanamu.Kwamba ni last born wa Mungu au?
Wamefanikiwa kwa sababu ya matumizi ya nguvu kupita kiasi ya vyombo vya usalama na si vinginevyo.
Ndo maana wanajeshi wanashinda barabarani siku nzima.
Lakin subiri muone ukuu wa Mungu.
Aisee! Hii hali itaenda kuwa mbaya inawezekana kushinda hata Zimbabwe. Mwenyezi Atuepushe Aisee!Mapindunzi yoyote yakianza ni lazima yafike mwisho au yafanikiwe na kutimiza lengo...
Lakini hii ya watu kujiona special na kutaka watu wengine wawapambinie ndio inaleta hizi kero... na huu ni mwanzo.
Nimefanya kampeni hewa
Nimewaua ili kujiapisha
Nimeweka ndugu zangu kwenye cabinet
Nimeweka wabunge ninaowataka....
Na hakuna kitu mtafanya.
Next stop ni kubagaza nchi nitakavyo na hakuna kitu mtafanya zaidi ya kulialia mtandaoni.
CCM na Samia must go ili nchi iwe sawa
Ni kweli kwa hali hii ni bora daladala nazo ziachiwe zifanye kazi. Raia ndio aamue atumie usafiri anaoumudu. Fikiria daladala kituo kwa kituo nauli 500, huku kwingine kituo kwa kituo 1000!?Ndo maana watu wameikacha mwendokasi baada ya kurudisha daladala.
Imagine Mbezi mpaka posta ni 800 kwa daladala na Mwendokasi eneo hilo hilo ni 1600. Na wanatumia gesi ya hapa hapa na wanabeba watu wengi.
Warudishe daladala zote milele. Mwendokasi iwe option tu
Kwa Elfu moja sio mbaya,, muhimu huduma iwe nzuri na isije kupanda Tena nauli,maana hawakawiiKama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?
Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Kumbe hadi Mbagala napo nauli ni ile ile 1000! Nikajua tunaadhibiwa sisi abiria wa Morogoro Road tu, kumbe hadi Mbagala! Kweli kazi tunayo Aisee!Ndo maana watu wameikacha mwendokasi baada ya kurudisha daladala.
Imagine Mbezi mpaka posta ni 800 kwa daladala na Mwendokasi eneo hilo hilo ni 1600. Na wanatumia gesi ya hapa hapa na wanabeba watu wengi.
Warudishe daladala zote milele. Mwendokasi iwe option tu
Kina ZawadiniKwenye hili huwezi kuwasikia Masheikh Ubwabwa wakikemea, wanajifanya kama hawapo