LATRA njooni Mbagala, wenye mabasi ya kwenda Kusini wanajipangia nauli zao

LATRA njooni Mbagala, wenye mabasi ya kwenda Kusini wanajipangia nauli zao

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,606
Reaction score
5,922
Habari za muda huu.

Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao.

Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu.

Namba hii wanaifanya Serikali ionekane mbaya mbele ya wananchi kwa sababu zao.

Cc: Waione LATRA mkoa wa Pwani na LATRA makao makuu.
 
Wewe ni nani huko ccm, mana unaitetea sana serikali hii mbovu
 
Latra mkoa wa pwani wamekaa kimya ,wao wanajua pwani ni kibaha tu,huko kingine watu wa magari wanajipangia tu na hakuna wa kuhoji,tukiwahusisha na sijui watakataa.
Maana nilitarajia wake hapa mbagala kufanya msako wa kuhakikisha nauli walizopanga zinafanyiwa kazi lakini wako kimya,tu.wameenda mbezi basi wanaona ndiyo Tanzania na ndo wamemaliza.
Huku kwenye watanzania halisi hawafiki.
 
Habari za muda huu.

Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao.

Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu.

Namba hii wanaifanya Serikali ionekane mbaya mbele ya wananchi kwa sababu zao.

Cc: Waione LATRA mkoa wa Pwani na LATRA makao makuu.
Serikali hii ni mbaya sana mbele za wananchi
 
Back
Top Bottom