LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

Acheni kuzunguka mmbuyu

Mnaelezea kisiasa siasa

Semeni mfano,kutoka kko mpk makumbusho nauli kiasi gani?
Msasani kwenda kimara nauli bei gn?
Etccc
Watu wajue

Ova

Nauli uliyokuwa unalipa zamani + sh.100

Chap chap hapo inaonesha ongezeko ni sh.100 kwenye ile bei ya mwanzo
 
Acheni kuzunguka mmbuyu

Mnaelezea kisiasa siasa

Semeni mfano,kutoka kko mpk makumbusho nauli kiasi gani?
Msasani kwenda kimara nauli bei gn?
Etccc
Watu wajue

Ova
Ongeza sh 100
Kama ulikua unalipa 300 basi itakua 400, kama ilikua 400 itakua 500, kamaa ilikua 500 itakua 600
 
Hizi bei hasa daraja la kati ndozo tunalipia diku zote.
Mfano mdogo.
Ar to Dar ni 650km
Bei za mabasi huwa 33k to 36k
Hivyo tulianza kuzitumia mwaka wa 3 sasa.
Mkuu “Kigli” jina lako lina maana gani? Nataka nimpe mwanangu mtarajiwa(samahani naomba maelezo kama hutajali) QUIGLEY
 
We are dona kantre.

images.jpeg
 
Nauli uliyokuwa unalipa zamani + sh.100

Chap chap hapo inaonesha ongezeko ni sh.100 kwenye ile bei ya mwanzo
Tukiweka siasa pembeni nauli ya daladala ilikuwa ndogo, wanaishi nchi mbalimbali wanaweza kutowa ushuhuda wa hili.

Ukiangalia mwendokasi wao hawana foleni, wana miundombinu ya peke yao, wanapiga tripu nyingi kwa siku lakini nauli yao ni kubwa kuliko daladala.

Daladala tumewanyonya kwa muda mrefu sana.
 
Sio makubwa ila hayaendani.. Mafuta yamepanda kwa sh 300 daladala inachukua watu zaidi ya 20,sasa hilo ongezeko la 100 kwa kila kichwa haliendi sawa na hiyo nauli.

Sijajua imetumika hisabati gani kufikia huo muafaka...

Nimefikiria pia huenda ni ongezeko ambalo limezingatia pia vitu viwili...

1. Marejeo ya nauli zilizokuwa zikitumika hayakufanyika kwa muda mrefu

2. Bei ya mafuta huenda ikaendelea kupanda, lakini hizi nauli mpya zikabaki hivi hivi pasipo kuwepo marejeo mengine tena ya bei hivi karibuni...
 
Back
Top Bottom