LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

Bei zinaenda mpaka elfu 80k si bora nikapande ndege kuliko kukesha barabarani alafu Treni ya SGR inaanza lini asee labda itakua nafuu 😂
 
Bado nauli za wanafunzi kwa madaladala
Na UDRT kupata nauli elekezi.

Vinginevyo itakuwa vurugu tupu vituoni.
 
Bei zinaenda mpaka elfu 80k si bora nikapande ndege kuliko kukesha barabarani alafu Treni ya SGR inaanza lini asee labda itakua nafuu [emoji23]
Sidhani kama treni ya sgr itakuwa "bure" kiasi hicho..
 
Makofi mengi kwa mama. Ana huruma na ni mzalendo tumpongeze.😂
 
Mama amejitahid sana kiuhalisia nauli ilibid zipande sana
Mfano sumbawang ilipaswa uwe hata 86,000/- ila mama anapambana sana
 
Back
Top Bottom