LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

Hizi bei hasa daraja la kati ndozo tunalipia diku zote.
Mfano mdogo.
Ar to Dar ni 650km
Bei za mabasi huwa 33k to 36k
Hivyo tulianza kuzitumia mwaka wa 3 sasa.
Uko sahihi mkuu!
 
Hizi bei hasa daraja la kati ndozo tunalipia diku zote.
Mfano mdogo.
Ar to Dar ni 650km
Bei za mabasi huwa 33k to 36k
Hivyo tulianza kuzitumia mwaka wa 3 sasa.
Sasa hivi si 36700? Tutailipia kwa 38K
 
Hivi kwanini hawapangi na bei za ndege kama wanavyofanya kwenye ma bus? ndege bei asubuhi na mchana tofauti ndege ikiwa inajaa na bei zinapanda wakati umbali ni ule ule kwanini huko hawagusi mfano Dar-Dom kama ni laki2 iwe laki 2 tu ila unaweza ukajikuta umekaa na mwenzako yeye kapanda kwa laki 2 wewe labda laki 3. Acheni soko huru tu wagambanie abiria watashusha wenyewe siku za sikukuuu watapandisha sasa kwa hivi hakuna ushindani.
 
Hizi bei hata hawasimamii, hizi bei za awali watu walikuwa wanalipa zaidi ya hapo, dar to dom basi ilikuwa elfu 20 huko, 22 na hilo ndio basi la kawaida, wakati nauli halisi ilikuwa ni 16 hiv.. Sasa imepanda 18 tutegemee mtu kutozwa 25 elfu
Nimeshangaa sana kuona hata mimi watu wanalipa mpaka alfu 40 leo wanaleta bei za mwaka 2016.
 
Uku Geita Masumbwe bodaboda kwa safari moja wamepandisha kutoka 1000 kabla ya mafuta kupanda sasa hivi ni 2000 na asiyelipisha wanamfungia mnyororo na faini ya keti tatu za soda Serikali mngelitolea ufafanuzi na hili wananchi wanateseka kwa kutembea na miguu kilometa 10
 
Lakini wewe kaka/dada ni muongooooo sana...jana tu nimepanda boda kutoka kale ka stand kadogo kutoka Runzewe nimeenda mpaka mazambarauni na nimelipa 1000/= ilaaa wewe ni kaongooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi bei hasa daraja la kati ndozo tunalipia diku zote.
Mfano mdogo.
Ar to Dar ni 650km
Bei za mabasi huwa 33k to 36k
Hivyo tulianza kuzitumia mwaka wa 3 sasa.
Hata Mbazi ulikuwa unalipa bei hiyo?
 
Back
Top Bottom