Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Labda nchi za dunia ya tatu, kwa nchi nyingi usafiri wa umma ni kama bure sababu ya serikali zao wanawapa ruzuku.Tukiweka siasa pembeni nauli ya daladala ilikuwa ndogo, wanaishi nchi mbalimbali wanaweza kutowa ushuhuda wa hili.
Ukiangalia mwendokasi wao hawana foleni, wana miundombinu ya peke yao, wanapiga tripu nyingi kwa siku lakini nauli yao ni kubwa kuliko daladala.
Daladala tumewanyonya kwa muda mrefu sana.
Mwendokasi wana gharama nafuu labda sijui unapimaje.
Kutoka gerezani hadi kimara ni 650. Kapande daladala uone utatumia kiasi gani