LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

Royal Tour itatulipia nauli msiwe na wasiwasi.
 
Kafie mbereeeee jinga tu kama wengine
Mkuu kwani nimekukosea nini kwa kutoa maoni yangu? Kuna watu wanamwona yule shetani kama shujaa wao nami nachukulia kuwa ni maoni yao. Siyo lazima tuwe na maoni sawa
 
Mbona hizi bei baadhi ya mikoa tumeanza kuzitumia zamani??

Nilichogundua Latra huwa hawafatilii mambo ya nauli
 
Pole sana mkuu. Maombolezo yameshaisha punguza uchungu
Utakuwa umevurugwa wewe,
Hujui kuwa wanaotakiwa kwenda kuzikwa pale ni Sukuma gang na wale wanajiita wanyonge?
 
Hili jina limetumika sehemu nyingi na maana yake hutegemea na jamii..
Limetumika sana Irish..wanasema asili yake ni uzao wa Coigleach...kwa wanaume na wanawake ni uzao wa Choighigh.

Kwa kiebrania maana yake...ni Yehova anaishi
linatamkwaje
 
Hizi bei hasa daraja la kati ndozo tunalipia diku zote.
Mfano mdogo.
Ar to Dar ni 650km
Bei za mabasi huwa 33k to 36k
Hivyo tulianza kuzitumia mwaka wa 3 sasa.
Happy washenzi watapandisha zaidi kivyao, ngoja nikopi hii chati Ili wasiniingize mkenge nikisafiri
 
Zile basi zao. Ni semi luxury japo wanatudanganya ni luxury. Basi ya luxury kama Ina choo ndani nk

Na ndio vya latra vigezo vya luxury ni lazima basi iwe na huduma ya maliwato. Iwe na city mpangilio usioumiza miguu, tv zisizo pungua sita. Ac.

Zamani walikua wakishakagua wanaweka sticker mlango, ordinary, semi luxury au luxury ila siku hizi sioni.

Ukatazwi kuita basi yako luxury katika tiketi yako ila utatoza nauli ndani ya daraja lako
 
Kwenye huo mkeka naona semi luxury Dar to Arusha ni 36,700/=

Na sisi tulishazoea nauli ya 36K wao wanaita ni full luxury.. gari ina choo, tv zipo za kutosha, nyingine zina WiFi, kipupwe OG, coffee/ milk, maji & pipi

Hiyo imekaaje? Kwamba tutalipia nauli ya semi luxury au?

Cc QUIGLEY na Kaskazini ilivyo na gari nzuri 🤣 si tutalipishwa 40K aisee
 
Back
Top Bottom