LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

Hao latra sijui serikali wanajuwa
Wabongo wataishia kulalamika tu
Watazoea maisha yataendelea
Huko mbele watapandisha tena itakuwa yale yale
Hawa jamaa they don't care kabisa

Ova
Unahisi ni kubwa sana?
 
Tatzo kubw hakun UHUSIANO kat ya uchumi wa mwananchi na hali za kimaisha
Patashk
Nauli ipande mwak jan na mwak huu
(Au n mwak huuu imepand mara 2#)[emoji4]

Pia serikali ya latra itazame na kujali pato na mwanamchi na kubalance kote
 
Siyo kweli. Taarifa za ongezeko la nauli zilitolewa na kuandikwa kila mahali lkn watanzania kama kawaida yao walikuwa bize na habari za ngono, umbea na Simba na Yanga.

Pambaafu kabisa!!
We jamaa umeongea kweli tupu watz ni viumbe special sana wana react kwa pet issues mfano juzi hapo simba ilikuwa na mwenendo usioridhisha kila mshabiki akawa mchambuzi na kelele zikapigwa Mpaka mzee wa watu akarudi kwao na sasa timu imeanza kucheza vizuri.Lakini ajabu ndani ya nchi hata kuwe na mfumuko wa bei vipi hakuna anayejali bora kama ligi kuu inaendelea .

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwako Lucas mwashambwa
 
Mimi naamini kabisa CCM haipo tena nchi hii,ila Kuna Lindi linajiita CCM.
 
Tunaongozwa na vibaka a.k.a panyaroad.
 
HAwawezi kusema kitu kwakuwa hawapati maumivu wao wanaatumia usafiri wa bure
 
Tegeta /kariakoo kutoka Tsh 700 hadi 900
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…