Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

We ni nani kwenye hiyo lebel... Back voko ama ndio babutale...

Kijana lavalava ndivyo alivyo ni mpole hana mashauzi.. Alafu swala LA mavazi hapangi yeye aliye mbadili qboy msafi no nani kama hayupo basi wenzie wanamuhujumu hawampi ushauri
 
Si lazima ujue mm ni nani pale wasafi ila ujumbe ndio huo ukufikie
 
Vijana bwana eti 'Label yetu ya WCB' [emoji23][emoji23] pambana upate mkate wako wa kila siku uyo mwenzio yuko jikoni tayari na anakaa meza moja na hao wenye label wakati wewe unalalama mitandaoni.
kwani mtoa mada amesema hana chakula,maisha kutegmeana bro!
 
japo sio mpenzi sana wa hii miziki yenu ya sasa hivi kutokana na umri wangu kusonga mbele,huyu dogo sivutiwi na ile style yake ya kuimba kama muimba dufu...nahisi atakuwa ni product ya madrasa huyu....ana uimbaji wa kidufu dufu sana.

sorry kama kuna mtu atachukizwa na comment yangu.ni maoni tu hivyo sio lazima kila mtu ayakubari.
 
japo sio mpenzi sana wa hii miziki yenu ya sasa hivi kutokana na umri wangu kusonga mbele,huyu dogo sivutiwi na ile style yake ya kuimba kama muimba dufu...nahisi atakuwa ni product ya madrasa huyu....ana uimbaji wa kidufu dufu sana.

sorry kama kuna mtu atachukizwa na comment yangu.ni maoni tu hivyo sio lazima kila ayakubari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilishawahi kusema hicho kitu.
 
honestly speaking,sivutiwi na uimbaji/mpangilio wa sauti wa huyu dogo kutokana issue hiyo...u-madrasa wake ni kero kwa wengine.

asante kama ulishawahi kuligusia hili.
 
Kwa mlioona show ya Jana mtakuwa mashahidi.Wasanii wa WCB wote walifanya kazi nzuri sana kasoro Lavalava.

Kwanza alivaa kishamba pia hakupokea shangwe za maana kutoka kwa mashabiki kutokana na ukweli kwamba alikuwa anaboa mashabiki tu badala ya kuwaburudisha.

Hakika Simba (Diamond)hapa kwenye usajili wa haka kajamaa ulikosea sana nitazidi kukulaumu milele na milele.

View attachment 643309
We kijuso unamzid ujanja lavalava...kazi kuhukumu wenzako ...et hawana kitu...wabongo bana chuki nje nje...
 
Back
Top Bottom