Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina chuki mkuuChuki binafsi hizo!
Mawazo yako tu hayomleta mada c bure una lako jambo na huyu bw. mdogo c bure dem wako anamsifia sana
Si lazima ujue mm ni nani pale wasafi ila ujumbe ndio huo ukufikieWe ni nani kwenye hiyo lebel... Back voko ama ndio babutale...
Kijana lavalava ndivyo alivyo ni mpole hana mashauzi.. Alafu swala LA mavazi hapangi yeye aliye mbadili qboy msafi no nani kama hayupo basi wenzie wanamuhujumu hawampi ushauri
kwani mtoa mada amesema hana chakula,maisha kutegmeana bro!Vijana bwana eti 'Label yetu ya WCB' [emoji23][emoji23] pambana upate mkate wako wa kila siku uyo mwenzio yuko jikoni tayari na anakaa meza moja na hao wenye label wakati wewe unalalama mitandaoni.
Sawa babutale... Sijui kama lavalava naye yupo humu kwamba atasoma.... Hayo ni majungu na umbea... Kijana muite umuonyeSi lazima ujue mm ni nani pale wasafi ila ujumbe ndio huo ukufikie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]japo sio mpenzi sana wa hii miziki yenu ya sasa hivi kutokana na umri wangu kusonga mbele,huyu dogo sivutiwi na ile style yake ya kuimba kama muimba dufu...nahisi atakuwa ni product ya madrasa huyu....ana uimbaji wa kidufu dufu sana.
sorry kama kuna mtu atachukizwa na comment yangu.ni maoni tu hivyo sio lazima kila ayakubari.
honestly speaking,sivutiwi na uimbaji/mpangilio wa sauti wa huyu dogo kutokana issue hiyo...u-madrasa wake ni kero kwa wengine.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilishawahi kusema hicho kitu.
Hapana,niliona kwenye tvUliudhuria show ya bashite
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hance tena na Lavalava
We kijuso unamzid ujanja lavalava...kazi kuhukumu wenzako ...et hawana kitu...wabongo bana chuki nje nje...Kwa mlioona show ya Jana mtakuwa mashahidi.Wasanii wa WCB wote walifanya kazi nzuri sana kasoro Lavalava.
Kwanza alivaa kishamba pia hakupokea shangwe za maana kutoka kwa mashabiki kutokana na ukweli kwamba alikuwa anaboa mashabiki tu badala ya kuwaburudisha.
Hakika Simba (Diamond)hapa kwenye usajili wa haka kajamaa ulikosea sana nitazidi kukulaumu milele na milele.
View attachment 643309
Mwambie anachukia sana uyoYaani wewe huwa tunaelewana kule kwenye kuisifia yanga ila hapa nipo against na wewe ebu punguza kumdiss huyu dogo
Penye ukweli lazima pasemwe huyu dogo ni mzigo sana pale wasafiYaani wewe huwa tunaelewana kule kwenye kuisifia yanga ila hapa nipo against na wewe ebu punguza kumdiss huyu dogo
Mpunguzie hizo lawama basi maana dah Sijui Kama unapita mwezi bila kumuanzishia uzi huyu dogoPenye ukweli lazima pasemwe huyu dogo ni mzigo sana pale wasafi
Wcb wote ni washamba sana mnabebwa hata hamubebek